Recent content by mkokamoto

  1. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Gesi ya matumizi ya majumbani yapanda bei

    Waje CCM watuambie kwanini gesi imepanda bei🫵
  2. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Duniani tunapita😣
  3. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna watu hawajui utani

    🤔
  4. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Wengi wanachukulia poa ila yakiwakuta wao wanaanza kulilia wahurumiwe🤓
  5. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Wacha tuone🤔 Oktoba hakuna uchaguzi
  6. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

    Kula wake za watu dah!! Ile nimemla jioni ya saa kumi na moja saa mbili anahamia kwangu na mabegi eti mumewe kamfukuza😁 ilinitoka pesa nyingi hadi kesi kuisha nikaapa sili tena forever japo ni warahisi kuwala
  7. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Baada ya siku 90 nitaleta maelezo kamili kuhusu; 1.Historia yake ilikuwaje akawa shoga(nimemuuliza kanipa maelezo kidogo ila taratibu atafunguka kamili nimempa muda) 2. Mrejesho kuhusu nimeupokeaje ushauri kuhusu hili jambo kutoka kwa wadau tofauti tofauti hasa humu jukwaani 3.Hatua...
  8. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mke wa pili na ninayemtaka kanijibu haya

    🤔
  9. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

    Safi sana👏
  10. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Hongera mama: Tuliosema mauza uza yatatokea kabla ya uchaguzi tulikuwa sahihi kwa asilimia mia moja

    Habarini za mchana, mwendo ni ule ule oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓 yatatokea mauza uza Uzi huu utaangazia mauzauza hayo hili la leo la kuipa vikwazo JF litahamasisha zaidi wana jamiiforums kujua hawapo salama Ni matumaini yangu wanajukwaa wengi wamechukizwa sana na wataanza...
  11. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Jadili mada husika tafadhari!! Matusi hayafai
  12. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Toa ushauri nini kifanyike kumsaidia huyu shemeji yangu tafadhari🙏
  13. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Elewa hivi hii ishu imenitatiza sana ndo mana nikaileta humu suala la shoo mbovu ni matokeo ya hili suala Je? Ushawahi pitia changamoto ya ndugu yako kuwa shoga, ulifanyaje ? Msaada tafadhari
  14. mkokamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Tutajitahidi sana tufike anaweza rekebiswa
Back
Top Bottom