Magufuli alibadili baadhi ya majina ya wagombea ubunge walioshinda kura za maoni na kuteua wengine ili kuweka mambo sawa ndani ya chama na kwenye majimbo husika.
Sababu ni kwamba baadhi ya majimbo wabunge walikuwa wameyageuza kama mali yao binafsi, au kulikuwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa...
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao.
Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
Siku nyingine andika kwa nafsi yako mwenyewe usiandike kwa nafsi ya wingi utafikiri tumekutuma.
Mnakera sana na huu upumbavu wenu, kutetea vitu vya kishenzi shenzi tu ambavyo havina maana, mnashindwa kutetea mambo yenye manufaa kwa taifa. Sasa kuitwa mwanamke kuna shida gani, ukiwa Rais ndio...
Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili.
Usiandike namba zote kwa wakati moja, chagua namba moja tu.
NB: kama huwezi kufuata utaratibu, pita kama vile hujaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.