Recent content by MKL

  1. MKL

    kwa nini Uhai wa Jukwa hili utegemee Matukio ya TCU, Bodi ya Mikopo na NECTA??

    Yaani kumbe kama Taasisi tajwa hapo juu zisipokuwa na Matukio jukwaa hili linapooza kiasi hiki? jamani kama TCU, HESLB au NACTE hawana matukio basi jitahidini mlio na upeo wakielimu muwe mnapost hata Tafiti mbali mbali ili tunufaike wakati tukisubiri matukio ya hizi taasisi ambazo kuwepo kwake...
  2. MKL

    Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

    "Et habri kutoka ndani TCU wewe ni Nani Pale TCU" kwikwikwi............
  3. MKL

    Naona Dalili za CCM kubadili mgombea Chalinze

    Hiyo list ni ndogo sana kwa ushahidi uliopo tetetete.........
  4. MKL

    Wasifu (CV) wa January Makamba

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture...
  5. MKL

    Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

    Zıtto mpenda sıfa na ınawezekana hata hayo majına hana mpendda attentıon za medıa na sıfa za kıtoto.......
  6. MKL

    Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

    Zito ni Mtu ayependa sana Attention hasa Media na asipooneka kwenye vichwa vya habari yuko tayari Kuzusha utakumbuka aliwahi kuja na utafiti eti akigombea majimbo flani angeshinda, ilikuwa ni dhana ya kitoto flani na kila mara anaanzisha ishu ili kuleta attention then analamba headlines...
  7. MKL

    Umaarufu/Umashuhuri wa Mandela uliotengenezwa na Magharibi na Wazungu!

    Kwa kusamehe watesi wake; Nelson Rolihlahla Mandela (Madiba) alijiwekea hazina Duniani na Mbinguni, Lakini Sifa zoote hizi hasa toka ulimwengu wa magharibi hazilengi nadharia hii. Bali sifa hizi zinalenga kukarimu ubepari wao ambao haukuathirika kwa kuachiwa kwake. Ieleweke kuwa mataifa...
  8. MKL

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    Pole sana alpha1 na wadau woote hasa mleta UZI, mlioguswa na kauli zangu, Nashukuru kwa response zenu ambazo zoote hazilengi kuwasaidia wahanga binafsi nilimtumia kitu kinaitwa shambulia mtoa mada ili wenye taarifa watoe ukweli, alpha1 ulikuja na response mzuri sana counter attack ambayo...
  9. MKL

    Naomba sheria na kanuni zibadilishwe mh rais J.Kikwete agombee 2015

    Katiba ya Ja,mhuri ya muungano wa tz inasemaje kuhusu mihula ya uongozi wanasiasa hasa rais? au tayari kipengele hicho kilishafutwa kama M7 wa uganda alivyofanya?
  10. MKL

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    Una akili au aubongo mleta mada, nani amewapotezea muda? walikuwa wapi kwenye raundi zoote za aapplication hadi wajikute 4th round kama walikuwa wanafanya makosa wao kuapply je? wenye akili woote walishariport vyuoni na wanakaribia kumaliza semister, 4th round wajijue wamwpata vyuo kuriport...
  11. MKL

    Wastaafu wahoji hati ya Muungano Pemba, Unguja...

    Kumbe nyerere ni Namii kweli "nyambi ya ubaguzi" sasa sio Tanganyika tena wameanza wenyewe kwa wenyewe mtakulana nyama muda si mrefu
  12. MKL

    Mwigulu Mchumi daraja la kwanza awapa somo wasomi wa Taifa hili ni ktk msiba wa MVUNG

    Akaliwe ma------ na uchara etu usominawe leta uzi kamwambie nimesema apeleke Mbilu kwa maaabasha wake nyamanyama xxxzqyyyyyyyyyyyyyyy
  13. MKL

    Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

    Balile ni wale wale kijana nani asiye mfahamu akiwa mtanzania wakati wa Campain alitukana hadi kilamtu hasa upinzani kwa project ya mamilioni aliyopewa na baada ya kumaliza bazi aliyopewa alijiuzulu na kuanzisha hicho Kigazeti eti naye anajifanya anafany areportingy auchunguzi nani asyejua kuwa...
  14. MKL

    Anna Muhimili agoma kuingiliwa kinyume na maumbile

    Huu uzi haufai hapa dada hili ni jukwaa la Siasa labda ungesema leo Kilewo katuingizia wanachama wangapi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuikomboa nchi hii sio kuombana makalio hili peleka kule EATV na wanawake LIVe faanya hivyo sasa..........tafadhali
  15. MKL

    UJIO WA TCU na MOEVT DELEGATES UJERUMANI HUKU TATIZO SUGU LIKIWA HALIJATATULIWA

    Acha kudanganya Umma hasa wasiojua niko Ujerumani mwenyewe na ninasoma kwa ufadhili huo. hela kwa semister hii zimetumwa toka mwezi wa Tisa mwanzoni na zilitumwa almost two weeks kabla haya unayatoa wapi kaka au unahela zako unadai wizara ya elimu na hawajakulipa ili tujipange kukusaidia kudai?
Back
Top Bottom