MKIWATA ni NGO inashughulika na jinsi ya kusaidia kutatua matatizo ya vijana kama, matumizi ya madawa ya kulevya, magonjwa, ujasiriamali, ukosefu wa ajira. MKIWATA peke yake haiwezi fanikisha ili bila kuwa na mfadhili. MKIWATA inaomba kama upo tayari au unajua jinsi ya kupatikana kwa mfadhili...