Nafasi za kijitolea

mkiwata

Member
Apr 25, 2017
11
1
Nafasi ya kujitolea kwenye shirika lisilokuwa la-kiserikali mkiwata mkiwata-muwezeshe kijana wa tanzania

Mkiwata ni shirika linaloshughulika na kusaidia kutatua matatizo au changamoto za kijana wa tanzania shirika la mkiwata linafanya kazi zake katika wilaya ya moshi.


Shirika limetoa nafasi kumi za kujitolea kwa kijana mwenye umri kati ya miaka 21-27, ambae ni mkazi wa moshi na elimu yake kuanzia form six, certificate, diploma au degree.


Kama kijana upo tayari tutumie cv yako kwenye email: johnson.siame.js@gmail.com au piga simu no. 0679457728
 

Attachments

  • IMG_20170327_000055_854.jpeg
    IMG_20170327_000055_854.jpeg
    33.1 KB · Views: 46
Ni wazo zuri,
Ni wakati wa vijana kujiari sasa;
Hii nimeisikia Moshi,
Wameanza vizuri, wanasaidia kuokoa vijana walioathirika na unga na madawa ya kulevya.

Natamani Mheshimiwa Makonda angeanza na hawa vijana kwa kuwapa mitaji ili waendeleze kazi yake aliyoianza;
 
Ni wazo zuri,
Ni wakati wa vijana kujiari sasa;
Hii nimeisikia Moshi,
Wameanza vizuri, wanasaidia kuokoa vijana walioathirika na unga na madawa ya kulevya.

Natamani Mheshimiwa Makonda angeanza na hawa vijana kwa kuwapa mitaji ili waendeleze kazi yake aliyoianza;
Makonda ni mkuu wa mkoa wa dar

Moshi huko sie kwake. Labda uombe ahamishwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom