Kuanzisha shule ya awali

mkiwata

Member
Apr 25, 2017
11
1
Naitwa Johnson John Siame, nipo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi mjini, nina wazo la kuanzisha shule ya awali, ila naitaji watu walio serious kufanikisha wazo hili, nipigie 0744757738
 
Kuna haja gani kutumia fake ID humu?
Jiandike kwa majina yako tu mkuu.
 
In vizuri sana kama una eneo zuri pia ukapata walimu walio commited mtapiga pesa mingi sana

Pia iwe ni day care
 
Ni vitu gani ambavyo vinahitajika ili kuanzisha ukiachana na
1.kupata darasa kubwa la kufundishia pamoja na vitabu na vifaa vya kufundishia
2.walim

Je ukiachana na hivo je ni vitu gani muhimu vingine
 
Pata vibali toka mamlaka husika
 
Ni vitu gani ambavyo vinahitajika ili kuanzisha ukiachana na
1.kupata darasa kubwa la kufundishia pamoja na vitabu na vifaa vya kufundishia
2.walim

Je ukiachana na hivo je ni vitu gani muhimu vingine
Pamoja na vibali toka mamlaka husika kama Lihakanga alivyosema hapo juu, kitu kikubwa ni *Falsafa* itakayoongoza shule yako:
1. Montessori-type au ya kikoloni?
2. Wanafunzi watakuwa wanapigwa au hawapigwi?
3. Whole-health (mental, physical, psychological) au kuangalia maksi tu?
4. Pesa kama tai, au sivyo?
n.k.
:
 
Nmekuelewa mkuu
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
 
Back
Top Bottom