Recent content by Mkiti

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu na Mwalimu

    mada nzuri sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

    Mskini CDM. Wapi Dr. Slaa,Prof Mkumbo na Zito.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Halima mdee alikuwepo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

    Mbowe kapoteza mali nyingi sana. Ni lazima maridhiano ili mali zake zirudi. Hata ningekua mimi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu juu wabunge 19 waliofukuzwa

    Lisu anazungumza bila ya kupitia maombi ya akina mdee yaliyopo mahakamani na ambayo spika alijuzwa. Kwa mfano kama maombi yaliyopo ni pamoja kuomba ubunge wao uendelee hadi kesi yao itakapo kwisha, na mahakama ikaridhia ombi hilo, unataka spika afanye nini. Mifano aliyo toa lisu ni irrelevant...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Hiyo barua imeandikwa na kusainiwa saa ngapi jamani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Halima Mdee kuijenga Chadema ni sawa na Wajumbe wote waliobaki Chadema ukimtoa Mbowe

    Mbowe alichomfanyia halima inafanana na dume aliye owa bint mdogo, akamzalisha watoto wengi na mali nyingi, afu anambwaga, dume akitariji kula maisha. Mbowe sio tu ana roho mbaya katika swala la fedha na siasa bali pia ni chauvinist.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Mbona kuna watu wanashinikiza akina mdee waombe radhi, watasamehewa. Radhi gani ya kushinikiza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Freeman Mbowe ni kiongozi makini

    Kuwafukuza akina mdee ni kutoangalia ulikotoka na unakokwenda. It is a self inflicted homicide.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Mi ntasubiri tukutane 2030 Inshallah.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Si ndo uhuru na haki ambao cdm inapigania! Au?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Tunasubiri sasa vita ya Mbowe na Halima mahakamani. swali la msingi jee cdm imekomaa kiasi cha kuaminiwa kupewa nchi au bado?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    Kuna mtu kwenye kona anatabasamu kwa ujanja ujanja wake alio ufanya. Lakini wakati/muda utasema.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sabaya ametolewa kafara na Serikali ya Rais Samia

    Mbowe kishalegezwa.
Back
Top Bottom