Utumishi wameshatoa kibal cha ajira zkiwemo na za WALIMU pa1 na Lab. Technicians 34,000. So walimu 2we wapole, Coming soon. Source Tanzania daima 10/04/2015
Kweli huwa nawashangaa sna wadada hasa wa mwaka wa mwisho, mana wengi huwa wajawazito ifkapo semister ya mwisho, Lakn mwishowe mapenz huwa yanaishia mara 2 baada ya kutawanyka. Mwe makini mnaonda chuo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.