Recent content by mkeryo

  1. M

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Kwa kauli hiyo ya aliyekua RPC Dodoma naanza kupata picha ni nan aliwatuma wale vijana. Upelelez wangu umekamilika
  2. M

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Naanza kupata picha ni nani aliwatuma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Kahama municipal,huko kuna madudu ya aliyekua mkurugenzi Andason na wahuni wenzake Yusufu , Msangi na wengine ni hatari. Viwanja vya nyumba za watumishi wa serikali wamevimega wakajimilikisha na vingine kuuza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

    hilo sio jambo la kujivunia hata kidogo, ni wastan wa abiria 8 tu kwa siku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Je wajua kuwa kuna baadhi ya shule zilisitisha mishahara kwa walimu. Shuke ambazo zilisitisha mishara ni vyema ada ikagawanywa kwa nne ili robo moja isilipwe kwani shule haikuwajibika kumlipa mwalimu wala kumfundisha mwanafunzi
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Roho ya marehemu huwa inapewa nafasi mara moja kufika eneo la ibada ya mwisho/ mazishi kujionea kwa mda mfupi na kuondoka. Naamini atajionea. R I P Ruge Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Huyu moleli aliponunuliwa aliuza hadi akili , kichwani hamna kitu kilichobaki bora hata yule mvuta bangi wa darasa la saba.hana hoja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Tathimini ya Ukusanyaji wa Mapato, Taarifa ya Serikali kwenye ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri Nchi nzima 2016/2017, Dodoma Jiji yaongoza

    Halmashauri ya mji wa KAHAMA kuwa ya pili kutoka mwisho ni aibu Sana ukizingatia Kuna vyanzo vikubwa vya mapato mfano migodi. MKURUGENZI wa mji ajitafakari amekalia tu migogoro isiyokua na tija na kuwatukana watumishi na kuwafukuza kazi watumishi aliowakuta hayo ndo matokeo ya kufanya kazi bila...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Marufuku mtumishi wa umma kuvaa suti. Utavaa siku akija Rais au uwe mgeni rasmi tu

    Suti navaa ,huwezi kunipangia mavazi .ni wivu tu unakusumbua Kwa sababu unataka wewe tu ndo uonekane umevalia suti. Kwa haya matamko Kuna siku utaskia mtumishi haruhusiwi kuja ofisini na gari.mara mtumishi haruhusiwi kuvaa underwear nk.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Kahama amuomba Magufuli ampumzishe kazi hiyo

    acha bangi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chenji ya rada yaibuka bungeni

    hapo naona hata hajajibu swali. hovyo kabisa.bila shaka hiyo chenji ya rada ilishaliwa tena na hao mafisiem
Back
Top Bottom