Hawa ni ndugu wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Sisi tuchukue jembe tukalime, wakipatana tuchukue kapu tukavune! Natamani wangechomana na bisi-bisi, hatuna hamu nao.
Bahati mbaya ameamua kutofikiri na amekubali kupelekeshwa na kundi la wahafidhina ndani ya chama chake sambamba na wale wenye dahamana ya yombo vya mabavu (cohesive instruments) ambao siku zote bima ya maisha yao ni kuishi kwa ubabe ili waendelee kuwepo. Mungu anawaona na yana mwisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.