Arusha: Mahakama yamkuta Lengai Ole Sabaya na kesi ya kujibu

Watamtukana matusi yote lkn Mungu ni wa ajabu Magufuli ataendelea kuwa kiongozi bora sana kuwahi kutokea tanzania real patriotic
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya watanzania.
Mmh....!!

Kwani hufuatilii kutambua kuwa Sabaya yeye mwenyewe ana makosa na amekiri kuyafanya...?

Sasa inawezekana vipi makosa na dhambi zako wewe zimchafue mtu mwingine asiyehusika nazo kwa namna yoyote kuzitenda...?

Kama itathibitika kushirikiana kuyatenda na Magufuli, basi huko siyo huyu kumchafua yule bali wao wenyewe kwa umoja wao wanakuwa wamejichafua...!

Kwa hiyo, hapa ni HAPANA KUBWA, huna hoja yoyote bwashee...
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya watanzania.
Sio kweli mkuu, alichokisema alikithibitisha kwa kuwataja waliofaham inshu hyo na wako hai ikiweno makam wa rais wako
 
Mtazamo wangu binafsi, Kesi ya Lengai Ole Sabaaya imechukua U-Turn kumchafua Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwageuka wafuasi wa Hayati Magufuli katika Serikali yake.

Kwanini nasema hivo?

Kwa Lengai Ole Sabaaya kuwataja mahakamani;

1) Hayati Magufuli (Huyu ana Kinga kikatiba kwasababu alikua Rais).

2) Dk Mpango (Hana kinga Kisheria kwasababu alikua Waziri Wa Fedha Wakati Jinai Inatendwa).

3) Prof Luoga (Hana Kinga Kisheria - Gavana BOT)

Amewataja kama waambatanaji katika makosa ya jinai alioyafanya (Accomplice & Accessory To The Crime - Kisheria wana hatia na adhabu ni sawa na mtendaji wa jinai).

Hayati Magufuli alikua Rais na anakinga ya Kikatiba kushtakiwa, hao wawili hawana kinga kikatiba katika hayo makosa ya jinai jijini Arusha (Dk Mpango na Prof Luoga) na kisheria ni Accomplice & Accessory to the Crime.

Hoja za kumchafua na kumpima uadilifu Rais Samia Suluhu;

● Je, Wata wajibishwa kisheria na katiba ili Mahakama iachwe ifanye kazi yake ya kutoa hukumu dhidi yao kama wana hatia au hawana, au watawekwa juu ya sheria na katiba???

● Je, Ole Sabaaya ametumika na wanaompinga Rais SSH ndani ya CCM kumtikisa Rais kwa kuwatia kwenye Jinai watu muhimu katika Serikali yake???

● Je, ndio miongoni mwa njia wanayotumia wana CCM waliokua wafuasi wa Hayati Magufuli aliowaacha kwenye Serikali yake, na wakaamua kumpinga Rais SSH kwenye Chanjo za Covid wazi wazi kama njia ya kuonesha dunia yeye ni muumini wa "Double Standard kwenye kuwajibisha watu kisheria".

Rais Samia Suluhu alipo hojiwa na BBC, alisema - Freeman Mbowe aachwe awajibishwe kisheria na mahakama ndio itakayoamua juu ya hatia yake dhidi ya jinai anayo tuhumiwa nayo.

JE, kwa Prof Luoga na Dk Mpango nao watawajibishwa kisheria kama waambatanaji wa hayo makosa ya Ole Sabaaya na mahakama itaachwa kuamua juu ya hatia zao, au watawekwa juu ya katiba ya nchi kwasababu ni watu muhimu katika serikali yake!

Umeeandika mambo mengi lakini ni upupu mtupu! Hakuna Mahali Sabaya kawahusisha hao watu na maovu yake!! Rudia kuusoma utetezi wake vizuri
 
Magufuli anaishi miyoni mwetu,hachafuku kwa propaganda za kijinga.

wakijitahidi sana wafanye zaidi ya alivyofanya kitu ambacho hawataweza.

nawashauri wawe wapole japo kalala HAWAMUWEZI.
 
Kuna dawa ya kufu
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya watanzania.
nga kuharisha huku kwetu, karibu upate. Naona umeachia uharo hapo juu, dhulumati mkubwa wewe!
 
Wewe ndo wale ilikuwa mtu akizungumzia haki tu anaitwa sio mzalendo, ni mhujumu uchumi, anatumika na mabeberu!
Hebu acha sheria ifuate mkondo wake au hujawahi ona mahakama ikimuhukumu kifungo marehemu?
 
Kampeni za kuhamalisha chanjo tu hizo Kama alikufa kwa Corona mbona Hata mama Samia Wala Raisi wa Zanzibar Wala Baraza Zima la mawaziri Wala vyombo vyote vya ulinzi na usalama Wala viongozi wa afya mbona hawakuvaa barakoa ,Wala social distance Wala hawakuchanjwa?

Mungu anawaona uongo wenu wa kutumia marehemu .Corona na iwapate kwa jina Yesu hata kama mumechanjwa Ni iwaue kwa kusingizia marehemu

Eee Mungu saidia Corona isiwe mbali na wadharau maombi tuliyokuomba tukiongozwa na mtumishi wako Magufuli Raisi wetu uliyemwita kwako.ukawape Corona wanayoiamini kuliko Maombi tuliyokuomba na iwaue.

Tunaomba hayo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu .Amina.
Shujaa wenu alisoma but alibakia kuwa mbumbumbu hadi anaingia kaburini!
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya watanzania.
Magufuli hawezi kipendwa na upinzani hasa Chadema, huyu ndio kiongozi ambae hakutaka kujali kama Chadema wapo na wana ishi. alimpa heshima Mkuu wa Wilaya na sio Mbowe, uongozi na Chadema yake.

ALIHAKIKISHA MUDA WOTE AMEWAANGUSHIA KITU KIZITO WAHANGAIKE NACHO. ALI IRUDISHA NYUMA CHADEMA TAKTIBANI MIAKA 20.
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya watanzania.
Dada tafuta bwana mwingine ,Sabaya anafia jela , dikteta ndio alikuwa anampa kiburi Sabaya
 
Pumba tu hizi,

Sasa hata wakimchafua au wakimsafisha inasaidia nn kwa watanzania ?
 
Ni kweli, hii inatupa mzigo mzito sana sisi waandishi wa Legacy yake.
 
Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri.

Katika kipindi chake cha urais muda huo kuanzia 'go' taa kuwaka kijani kupitia vibaraka wao wakiongozwa na lissu walianza kumpiga vita kwa pupa uongo na lugha za kishenzi kabisa. Yote ilikua mshtuko na hamaki kwa kujua magufuli ni kiongozi imara na mtetezi mkubwa wa maslahi ya umma. Ni mtu muadilifu hahongeki hivyo kua mtu hatari kwa ubwanyenye na unyonyaji wa nguvu kazi ya wavuja jasho.

Wapinga maendeleo wakiongozwa na chadema wamekua wanamuombea kila janga magufuli hadi wamekua wanamwombea kifo. Tuliona kina lema wakimtabiria kifo kama hataacha kuwapambania wanyonge.

Magufuli alipotwaliwa na mola wake adui zake wakiongozwa na wanachadema walionyesha furaha hadharani na kuamini mungu amejibu maombi yao. Kwa imani kwamba mungu amewaletea samia bila shaka wakampelekea fitna nyingi na mama kumtupa sabaya mtumishi mwaminifu wa umma gerezani.

Hii kesi ya sabaya kwa waliyoipanga lengo lao ni kumchafua magufuli. Leo fisadi na wakwepa kodi aliyotumwa sabaya kuwafuatilia ndio wanamuita sabaya jambazi. Hili halitakubaliwa na wananchi kama walivyokataa pale jaribio la kumchafua baba wa taifa lilifanyika na wapinga maendeleo.

Mahakama ipo/ zipo haki ya sabaya itapatikana na magufuli atabakia daima kwenye mioyo ya Watanzania.
You have said it all. Ila wajue Hawatamchafua. Sasa yeye hayupo si waendelee tu na yao waone cha mtema kuni. Nadhani mwezi wa kwanza waliipata. Nakufanya U-Turn. Na tuko macho wazalendo wa Rohoni tumsikie anaemchafua Magufuli tutapambana nanyi mafisadi wakubwa.
 
Back
Top Bottom