Recent content by MKEMWEMA ISSA

  1. M

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Majuha nyie hivi msomi anaweza kuwa wa aina yenu?tena acheni utani nyie wanafiki hamjui huku maisha yamekuwa magumu kwa ajil ya sakata hili la Wizi wa fedha za Escrow wafadhili wamejiondoa kufadhil bajet yetu!!!!
  2. M

    UKAWA Wamshukia Kikwete kama mwewe, Dr. Slaa asema Familia ya Kikwete ni mnufaika wa Escrow

    Wanaowashambulia ukawa nao ni sehemu ya hao waliotuibia
  3. M

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Kwann nchi imekwama kujiendesha wakati watanzania tunalipa Kodi zote hizo?
  4. M

    Kimenuka: Rugemalira kutiwa nguvuni ndani ya siku tatu

    Tunawaombea kwa mola awasaidie kuwa wazalendo
  5. M

    Sakata la ESCROW: IPTL na PAP Watinga Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria wa Maazimio ya Bunge

    Watañzania mnaboa,hamuoni uchungu pesa yetu kuliwa hadi mnashabikia IPTL kuliko binge letu tukufu??
  6. M

    CHADEMA noma: Mwenyekiti wa Mtaa Bukoba Katotorwansi ni Mechanical Engineer

    Hilo eneo walipiga kitabu kwa sio ajabu sana wana hazina ya kutosha
  7. M

    Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Tunataka waanze waliolamba pesa za ESROW!lkn mama umetimiza wajibu wako hongera!!
  8. M

    Tujitokeze kuwatetea Prof Muhongo na Prof Tibaijuka

    Tetea majambazi mwenyewe tena wote wanastahili kuchinjwa hadi wafeeee
  9. M

    Ni kweli Prof Muhongo anahujumiwa?

    Huyu ndo mwizi katika akaunti ambazo hazijutajwa
  10. M

    Kwa kauli ya Mbowe, kesho rasmi narudisha kadi ya CHADEMA mtaa wa Ufipa

    Anayesema mbowe kahongwa akapime akili yake ni mgonjwa
  11. M

    Pongezi IPP Mtaingia kwenye Kumbukumbu za ukombozi wa Taifa hili

    Tuanzishieni hamashisho la kuandamana ili waziri Mkuu na wenzake waliotuibia watakapojiuzuru
  12. M

    Tunaipenda Tanzania lakini kwa hili hapana!!

    Nchi hii imezidi na kuomba kwann lkn tuwe watumwa kuzitegemea nchi zingine ndg zangu ni utumwa mwingine huo tubadiri mfumo wa bajeti zetu tutapona
  13. M

    Fanya Hesabu Hii Rahisi Ambayo Italeta Ukombozi Kwenye Maisha Yako

    Ni kweli kabisa nawashauri hasa walimu waache kulalamika kwamba mshahara hautoshi waunganishe Nguvu kwa kuanzisha shale zao binafsi
  14. M

    David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

    Kila lakheri mbunge wetu Mungu atakulinda na maadui wote usihofu uwe na Moyo Mkuu na ushujaa mwingi
Back
Top Bottom