Unazungumzia Maoni ya wapumbavu na machawa waliolipwa kupush # ili ionekane Samia anafanya kazi hakuna mtu anauejielewa anayeweza kukubaliana na ujinga huu
Ungemalizia kwa kusema kuwa aya ni Maoni yako, lakini ata kama ni Maoni yako kufikiri huwezi ata kuona pia huoni pole Sana kwa Hali hii ili Taifa haliwezi kukombolewa ata siku moja
Sidhani kama kwa sasa kuna haja kubwa ya daraja ILO kwa Sababu hatuna biashara kubwa tunafanya na Zanzibar itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na kuingia mikopo isiyokuwa ya lazima
Kama watu wanabarikiwa na kupona kupitia nyimbo zako na mafundisho yako siyo ishu ya saikolojia ni ishu ya faith, ujue Mungu yupo kupitia Imani kama unaamini Mungu yupo basi atakuwepo kama hauamini ni kweli Mungu hayupo, imarisha Imani yako, then hongera Kwa kuwa mama Bora . Nicheki kupitia...
Habari ndugu zangu,
Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa
1. Kiwango cha mshahara ni bei gani?
2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.