Recent content by MKEHA

  1. MKEHA

    KERO Maduka ya spea za magari yageuka kuwa gereji bubu

    Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani. Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu. Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine...
  2. MKEHA

    Pacha wa Makonda ni Chacha wa Tabora

    Wakati Makonda anakiwasha sana kule Arusha kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kule Tabora mkurugenzi wa Sikonge nae hali ngumu sana baada ya hospital ya halmashauri kuonekana kama ilijengwa chini ya kiwango na tabia yake ya kutembea sana nje ya mipaka ya halmashauri yake. Kuna muda unaweza...
  3. MKEHA

    January Makamba hasikiki sana kama Mawaziri wa Mambo ya Nje waliotangulia

    Zamani mawaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa walikua wa moto sana wakiwemo mheshimiwa hayati Benjamen William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Camilius Membe. Hata mawaziri wa serikali ya hayati John Pombe Magufuli yule mama Mulamula, Stagomena Tax na Prof Kabudi kama...
  4. MKEHA

    Foleni Barabara ya Dodoma - Dar husababisha hasara kubwa Kwa Taifa

    Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne. Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu. Barabara hii kufungwa kwa...
  5. MKEHA

    Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    Naombeni maelezo ya kina hasa watu wa Kilimanjaro na Hai kujua KADCO ni nani na ana maslahi gani kwa serikali maana Bunge limechanginyikiwa
  6. MKEHA

    Hii foleni ya Vigwaza inarudisha Uchumi wa Tanzania nyuma

    Nimepita Vigwaza kabla ya mizani ukitokea Dar ile hali sio kabisa serikali iingile kati. Unaweza kudhani ni hujma kwa uchumi wa Tanzania. Foleni kilomita tatu sio jambo la kuchekea hata kidogo. Hata askari police nao hawapo ku regulate halli mambo yanajiendea hovyo tu.
  7. MKEHA

    RITA Dodoma kuna mambo hayako vizuri

    Leo nomefika ofisi za RITA DODOMA kuanzia saa tatu na robo mpaka naondoka saa Saba mchana sikupata huduma. Nimefika pale kwenye ofisi zao zilizopo Makole kwenye jengo la PSSSF gorofa ya tano nilichoshuhudia ni maajabu. Kwanza hakuna dawati la maulizo wala huduma kwa wateja. Kulikuwa na nyomi...
  8. MKEHA

    Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

    Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa. Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch. Je...
  9. MKEHA

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Mimi mwenyewe Nina kiwanja pale KIBUYUMIMBA na ni eneo hilo hilo la RAZABA
  10. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Nini tena kimekukuta kijana
  11. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Asante kwa kunitia moyo
  12. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Hawa ndugu zetu wa bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu siwaelewi. Wakiwa wanakudai kila siku wako mlangoni kwako na kama umeajiriwa kila siku unao ofisini kwako. Hiyo yote ni kuonyesha how serious they are. Shida inakuja unapomaliza deni lako na ukawa umewalila zaidi kwa maana ya OVER...
  13. MKEHA

    Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa. Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani...
Back
Top Bottom