Recent content by mkazuzu1

 1. M

  Kipande gani safarini huwa unakifurahia uwapo barabarani

  Toka kasena kuitafuta francistown kile kipande raha sana njiani unawafaidi wanyamapori mbalimbali na ile hali ya ukame
 2. M

  usafiri wa Bus from Dar es salaam to Johannesburg

  wala hakuna kasheshe zzt barabarani zaidi ya kufuraia safari yako mwanzo mwisho ukitoka kasane mpk francistown amini hutaweza kuta askari (traficki) njiani hata mmoja zaidi ya vituo vya kushuka kwenda kukanyaga maji ya dawa( kwani mnapita kwenye mbuga ya wanyama ya kasane) so lazima kukanyaga...
 3. M

  usafiri wa Bus from Dar es salaam to Johannesburg

  pia waweza toka dar-lusaka,kisha hapo lusaka ukachukua basi mpk boda ya kazungula,unavuka mto zambezi kwa pantoni utakuwa uko kasane mji wa kwanza wa bostwana. baada ya hapo utapanda sprinter gari flani hivi kama coster mpk francistown kwa pula 150, toka francistown mpk gaborone ni pula 88 kwa...
 4. M

  Mada maalumu ya walevi na wanywa pombe

  Naombeni msaada wadau najua hp siko sehemu yake ila kama kuna mtanzania yyt yuko hp kijiji cha ghanzi bostwana naomba tuwasiliane niko hp wiki nzima
Top Bottom