Recent content by MKATA_UMEME

  1. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    kaka display zipo ila kwa bajet yako iyo hata note 10 tu hutoboi.
  2. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    Brand zote ulizotajanni za wabongo wachaga na wakinga hapo kariakoo mtaa wa agrey hadi ndanda pale kama uyo mr uk ni mangi...china kuna chimbo ziko plain unachagua ww quality then unaibrand. Jna mzigo unaletwa...kizur zaid tv izo zote spair znapatika na zinaingiliana mno na ni bei rahis kuanzia...
  3. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Zipi Simu nzuri za kununua kwa bajeti ya 200,000 - 300,000/=Kabla ya mwaka 2022 hujaisha?

    Google pixel 3,3a na sony experia 8 bei zake i hiz camera kali ram nzur simu bomba
  4. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Zipo kariakooo kibao
  5. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

  6. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi mzuri wa tv aliyepo dar es salaam

    ndio namuhitaj boss
  7. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Nauza Iphone 6S bei poa

    *sale sale sale sale* brand iphone 6 plus storage: 16gb colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 450k brand iphone 6 plus storage: 64 colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 490k Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana...
  8. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa wanaonunua simu humu

    *sale sale sale sale* brand iphone 6 plus storage: 16gb colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 430k brand iphone 6 plus storage: 64 colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 480k Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana...
  9. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    *sale sale sale sale* brand iphone 6 plus storage: 16gb colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 430k brand iphone 6 plus storage: 64 colour: gold/space grey condition: brand new fulbox price: 480k Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana...
  10. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    wakuuu anayejua jina la hii mubi tafadhali anitajie
  11. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania msaada wa kupata nafasi ya chuo ngazi ya degree wakati huu

    wana jopo kwanza nitoe pongezi kwa mawazo yenu na michango yenu katika mada mbalmbal humu ndani lakin pil niwasilishe ombi langu ili tuweze kumsaidia kijana mwenzetu ambaye alipatwa na matatzo kipind cha kuomba chuo akashindwa kutokana na matatzo ya hapa napale.. lakin baada ya kupata ufumbuz wa...
  12. MKATA_UMEME

    JamiiForums Tanzania Nauza Iphone 6S bei poa

    iphone 6s colour space grey condition mpya sana internal 16Gb location DSM price: 540k cm haina dent unaweza irudsha kwa box ukauza kama mpyaa nipigie kwa 0766807166
Back
Top Bottom