Recent content by Mkata-tamaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane Toka ajiunge Bayern Munich Kawa mtu mwenye furaha

    Imagine jana Liver kampiga mtu goli 9 Halafu Salah hajafunga goli moja wala assist hana!! Kwelii jamaa kiwango kimeshuka sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na vip kuhusu PSG mkuu,hawa Monaco sio wa kuchukulia poa poa ujue
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau kumekuchaa Naomben ushauri wenu wadau nimeamka nakuta mkeka wangu bado unapumua,sema bado mechi mbili ya MADRID NA YA PSG Ushauri wenu wakuu nicash out au nikomae tu,ila naona kabisa Madrid kama ataenda kuuchana huu mkeka
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

    Agizo na pendekezo lifuatalo ni wanaume wote nao waanze kubeba ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

    Anatikisa usajili au anatikisa Instagram na story za wachambuzi wetu wa michongo takataka kabisaaaaaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Sio kushuka...sema tutarajie bei ya mafuta kurudi kwenye bei yake ya awali...wakifikisha sh 1,500 kwa Lita apo ndo tutasema wameshusha
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!! Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Upo sahihi kabisaa Ndo maana kondegang walikuja kushtukia hii ishu too late Wakataka kubadili upepo kwa kuihamisha bifu wakamtuma dogo Ibraaah ili aingie kati kama substitute ya Konde boy... Ila WCB wakaliona ilo, dogo Ibraah akakaushiwa kama vile hajatoa wimbo wowote wa madongo.. Wasafi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Mama anateua watu watakamsaidia kuchapa kazi kwa weledi na kwa ufasahaa Nama hateui mashosti wakupiga nao umbea na kuchambana ...ebooooo!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    KUM*MAE ZAO PLAYMASTER!! WANA ELA YANGU NDEFU SANA HALAFU MPAKA LEO CHENGA HAWAPATIKANI WAKUU NISAIDIENI KAMPUNI NYINGINE YA UHAKIKA YENYE CHOICES NYINGI NYINGI NA NZURI
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaenda Night Club na mkewe kaishia kugongewa humo humo

    Mmmh, hii chai hii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    2021[emoji91][emoji91]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Kheri ya mwaka mpyaaa wakuu
Back
Top Bottom