nadhani ilikuwa inawezekana kuwapa wanafunz wote hela ya meals and accomodation alaf izo za ada na vitu vingne ndyo watoe kwa hao ambao wao wanaamini wanauhitaji zaidi
dirisha la rufani linachukua siku 10? nilidhani litakuwa ni siku 3 au 5 ili watakaokidhi vigezo wapewe mkopo wao mapema,,, kuweka siku 10 nikuruhusu wale wasio na mkopo kabsa waendelee kukaa makwao,,,
wako wazee hata izo za mwezi hawajaanza kupewa,,, yani unakuta mzee alikuwa anafanya kazi wizarani lakini kastaafu kakaa mwaka mzima hajaona mafao kiasi cha kwamba hadi ile akiba aliyokuwa nayo imeisha anaanza kukopa mtaani,,, mzee kaitumikia serikali miaka 30 na zaidi alaf hapewi haki yake hii...
ili la NSSF ni tatzo kubwa sana,, hawa wazee ni wengi na wanateseka,,, miezi sita inapita mstaafu hajapewa hela zake,,, tunapoelekea ni kubaya sana zaid ya tulipotoka,,,
kuna msanii mmoja wa bongo flava aliwahi kusema kuwa "vyote kushoto na kucheka kinyume chake ni kulia"
wanafunzi wa Arusha Technical College(ATC) waliamini mwalimu kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi ni kitendo kilicho kushoto na ivo wakataka kukiweka kulia(sawa),,,
wiki kadhaa zilizopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.