Walinipokea vizuri sana kwa sababu halmashauri Ina makusanyo makubwa sana kwa level ya halmashauri ukiondoa majiji hii halmashauri ni ya pili Tanzania nzima kwa ukusanyaji wa mapato
Hakuna linaloshindikana mwamba Mimi pia nilikuwa najiandaa lakini nikienda kupiga pepa naishia written tu nilikuwa naumia sana lakini ni mwaka huu nimepiga moja tu nikalamba asali usikate tamaa mdau
Ondoa pressure zamani vyeti vya taaluma vilikuwa na majina mawili tu hakikisha hayo mawili yafanane na kwenye hivyo vingine ambavyo vina majina matatu Mimi nilienda hivyo hivyo na nikalamba asali
Kwani pesa zote za serikali zinakusanywa na tra peke yake? Mie nadhani Kuna taasisi nyingi tu ambazo zinapeleka pesa serikali kuu bila kupitia tra ndio maana Kuna utofauti wa hizo taarifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.