Recent content by Mkame_

  1. Mkame_

    Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

    La kweli TRA wanaajiri wenyewe bila kupita urumishi
  2. Mkame_

    TRA ondoeni Kodi ya Pango kwa mfanyabiashara

    Lawama wanapewa TRA kwakua ndio wanakutana na mlipakodi moja kwa moja, ishu hapo ni namna utaratibu ulivyoweka si rafiki kwa mlipakodi, muda mwingine wamiliki wa majengo wanatishia kuwafukuza wapangaji kisa hio kodi, kwaio inabidi mlipakodi amlipie tu mwenye nyumba au ahame, serikali labda...
  3. Mkame_

    KUITWA USAILI TRA 2022/23

    TMO II kama 186 hivi
  4. Mkame_

    KUITWA USAILI TRA 2022/23

    Kila la kheri mkuu
  5. Mkame_

    KUITWA USAILI TRA 2022/23

    Nenda kapige paper mzee
  6. Mkame_

    KUITWA USAILI TRA 2022/23

    Maandalizi mema
  7. Mkame_

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari wjamvi, Natafuta mtu kutoka mwanza mwenye uzoefu wa kwenda Uganda, Kampala kibiashara nahitaji kwenda kujumua vitu vya uremno, nijulishe tafadhali.
  8. Mkame_

    TRA punguzeni foleni zisizo na maana

    Kodi ya mapato inakatwa kutoka katika pato alilopata mtu (mfanya biashara) ambapo magari ya biashara ni mojawapo. Sasa kodi ikiwekwa kwenye mafuta moja kwa moja itaakua sio fair kwa mtu wa usafiri binafsi, ulipe Kodi ya mapato na huingizi pato lolote kupitia gari haiwezekani. TRA wameweka mfumo...
  9. Mkame_

    Maombi ya kazi kwa njia ya e-mails

    hayo yalikua mawazo yangu tu mkuu, najua kuweka document mojamoja ni rahisi sana, na watu wengi wanapenda vitu rahisi
  10. Mkame_

    Nahitaji kazi ya Tax Accountant - Mwanza

    Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii. Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa firm ndogo unafanya majukumu mengi zaidi. Kwasababu za kifamilia nalazimika kuwa Mwanza. Hivyo...
  11. Mkame_

    Maombi ya kazi kwa njia ya e-mails

    Nadhani ukiweka all documents in a single PDF is the best kwasababu . ukidownload document moja ni rahisi kureview badae kuliko ikiwa mojamoja, mwajiri anapata usumbufu wa kuunganisha document mojamoja na kama mjuavyo unadownload kitu kinajiandika jina lenye manamba kibao sasa ni usumbufu...
Back
Top Bottom