Recent content by mkamba2021

  1. M

    JamiiForums Tanzania Operation Wet-i-e Counter-Coup

    Nitarudi a tena tena na tena KUSOMA andiko linafikirisha sana kuhusu Serikali zetu Afrika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Operation Wet-i-e Counter-Coup

    Hongera andiko zuri sana,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    Wazo zuri ila huo usafiri wa umma ni changamoto kubwa sana,umeshawahi experience ya mwendo kasi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hana sauti na maamuzi kuhusu hatma yake na Ex wake

    Kwa takwiimu za miaka ya karibuni visa vya watu kuuwawa kwa wingi vimeongoza usaliti wa mapenzi,watu wameuwa kwa kuchomwa MOTO ndani ya nyumba mfano mbezi-dar, singida achana na hiyo Habari huyo mwanamke ni hatari atawachanganya sana na jamaa hata kubali, wanawake mbona wako weeeengi bro chukua...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Pole sana kiongozi usifikirie kufanya kitu kibaya,Mungu amekuonyesha mapema kuwa hakuwa chagua lako ingawa kwa macho ya binadamu uliona hilo piga moyo konde, vumilia, huna haja ya kufikiria kujiua hujaimaliza hii Tanzania na dunia kwa ujumla wanawake ni weeeengi wazuri, wenye mapenzi ya dhati...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Jaribu kuchunguza mienendo ya mkeo kwa sababu kama ni mama wa nyumbani anakuwa na muda mwingi wa kuwa mtoto yawezekana anaiga kutoka kwake ameiga tabia anazoziona haziwezi mawinguni,
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

    Rotten English "figaraout" ungeandika kiswahili ti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Kuna baadhi ya Makato ni by default mfano Ada ya Chama chako ya wafanyakazi na hifadhi ya jamii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Ameeleza vizuri, hiyo fedha ni mfano ukitaka kupata chukua mshahara wako kama laki 4,5,6 yoyote tumia hiyo formula
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Upo Sawa Makati mengine yanakuja by default except PAYE
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Ipi hapo ni kamba ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Upi hapo ni Namba?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Ooh!asante,nimejifunza mengi
  14. M

    JamiiForums Tanzania I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    Are u sure?asking them with your rotten English ....stop being disrespectful.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Hii ilikuwa graduation ya mwaka gani?
Back
Top Bottom