Recent content by mkalusanga

  1. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa wale mnaotumia BIMA kutibiwa kwenye VITUO VYA AFYA hasa vya serikali fuatilieni hili kwa makini sana kuna wizi mkubwa, imekuwa biashara sasa

    Unachosema ni kweli kabisa Mimi Wiki iliyopita Nilikuwa Naumwa Tonsez Zimenibana Hata kumeza ni Shida Nimeenda Hospital Natumia BIMA ila Ajabu nikaambiwa Natakiwa kulipla Sindano Elfu Kumi Sababu Mimi ndo Niliomba tu nichomwe Sindano ya kwenye Mshipa ili nipone maumivu Basi ikabidi tu...
  2. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

    Jamaniii Sitaki Kuamini😭😭
  3. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Ubarikiwe Saana Nimekuelewa Mungu ni Mmoja ila Ana Nafdi tatu 🙏
  4. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Aslay mihogo Mwanza

    Ndio Ulipe Pesa Uache kula??
  5. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Aslay mihogo Mwanza

    Pole
  6. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Aslay mihogo Mwanza

    Umeona Eee wabadirike.
  7. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Aslay mihogo Mwanza

    Habari za Mihangaiko.. Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna Sasa kilichonifanya niandike mimi...
  8. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Sawa Wewe Unaamini Yesu ni Mungu?
  9. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Sio kukalili Mimi naamini hivyo Mkuu
  10. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Yesu sio Mungu

    Mimi kwa tulivyofundishwa toka Utotoni ni kuwa Mungu ni Mmoja ila Ana Nafsi tatu Mungu Baba= Ambaye ndio Mungu Mkuu Mungu Mwana= Ambaye ni Yesu Kristo Mungu roho Mtakatifu=Ambae hutuombea pasikoweza kutamkwa kama nimekosea Nisahihishwe.
  11. mkalusanga

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wanaoendesha Harrier ni wazembe na wazubavu sana barabarani?

    Na Mimi naunga Mkono tena Watuache.
Back
Top Bottom