Recent content by mkaliman

  1. M

    Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

    Kwanini wasubiri kauli ya rais ili kuomba radhi? Je rais angewaunga mkono ndiyo kusema kuwa ingehalalisha na kuwafanya wawe sawa? Hayo ni maoni ya rais wala hayana uhusiano na uhalali wa kauli ya Bashiru.
  2. M

    Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

    Na pia kuna mistari ya orange huchorwa kwenye eneo pembeni ya barabara inakuelekeza nini?
  3. M

    Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

    Vipi kuhusu mistari mingi ya njano pembeni ya barabara au kwenye makutano ya barabara?
  4. M

    Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

    Lexus cc 2200?[emoji848]
  5. M

    Wakati wa Kabudi kupumzishwa ulishafika, Rasi Samia amsaidie tu

    Haujafika bali umepita tayari Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
  6. M

    Car4Sale Toyota Rav4, kilitime. No D bei 9m only

    Unaweka picha moja tu, unavizia au
  7. M

    Car4Sale Toyota Rav4, kilitime. No D bei 9m only

    Ongeza details pluz
  8. M

    Car4Sale Toyota Rav4, kilitime. No D bei 9m only

    Aliyeipaka rangi Mungu anamuona
  9. M

    Car4Sale Toyota Rav4, kilitime. No D bei 9m only

    Hii brevis cc ngapi?
  10. M

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kwa swali lako utakuwa hujanielewa vizuri
  11. M

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    Maisha ya Wairani ni ya kikuani, maana kuna rais ambaye ni mtawala, alafu kuna Ayatolah ambaye kwao ni kama kuhani mkuu, uenda Salem ilikuwa Iran. Anyway dunia imeinama, mifumo imekengeuka, hakuna cha kuhani wala kuwadi, wote ni ubatili mtupu.
  12. M

    Mapya ya Dunia: Jeshi la Polisi mkoani Arusha limemkamata mtuhumiwa aliyekuwa anawabaka wasichana na kuondoka na nguo zao za ndani

    Nilitegemea watu wajadili jinsi alivyoweza kubaka zaidi ya watu watano kabla ya kutiwa nguvuni na kuuliza hii intelligence tunayosema inaweza kugundua tatizo kabla halijatokea ilikuwa wapi?
  13. M

    Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Nimefedheheshwa sana na interview ile, inatupunguzia credibility kama nchi
  14. M

    Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

    Yaweza kuwa ni mbinu ya serikaki ya kurudisha imani ya mahakama na majaji
Back
Top Bottom