Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Yaani wewe jolojolo yaani huyo mwanamke uwezo mdogo uwezo wa kujieleza Hana kweli kila kitu madawa hospitalini utafikiri hata hayo madawa yapo ,,, msimruhusu tena kuhojiwa na mwandishi yeyote mbona Magu alikuwa mwoga kuhojiwa na vyombo hivi vya kimagharibi sabb alihofia kukosea ,, mama anajifanya mjuaji hata uwezo wake mdogo sanakama unaona alikosea kwa nn usimuambie kikeke afanye masahihisho?! au unataka interview irudiwe?
kuna mambo mengi ya msingi yanapaswa yashughulikiwe sio jambo hili ambalo haliongezi dawa mahospitalini wala haliongezi kodi ya nchi, wala haliongezi chanjo ya corona, wala halipunguzi maendeleo ya watanzania.
watanzania wenzangu nawaomba tujikite kujadili mambo ya msingi kwa taifa letu sio hoja ambazo hazina maana ambazo zinapoteza uwezo wetu wa kufikiria changamoto zinazo tukabili kama taifa.