Recent content by Mkalibari

  1. Mkalibari

    Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

    Makadirio haya ni pamoja na beam au slab tu?
  2. Mkalibari

    Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

    Sorry naomba nipongeze swali hapo....je,naweza kujuaje makadirio ya Nondo ninazoweza kutumia kwenye hiyo slab ya size hii,na je naweza kutumia za 10mm au lazima ziwe 12mm? Asante in advance
  3. Mkalibari

    Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

    Nakushukuru sana mkuu wangu na ubarikiwe![emoji120]
  4. Mkalibari

    Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

    Namimi naomba kuuliza,hivi hesabu za kokoto unaweza kuzikadiriaje?... Kwamfano cubic meter Moja ya kokoto inaweza kumwagwa ktk area ya sqm ngapi? Kwa slab!....au mfano jengo langu Lina upana wa 16m kwa 14m ktk hiyo slab inatakiwa niaandae kokoto cubic meters ngapi?...
  5. Mkalibari

    Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Hapo mzee lazima tuogope,maana Risasi zinarushwa hovyo Wala uwezi jua itatua wapi. Wewe imagine Risasi zinapigwa alafu hapohapo Kuna mafuta ya petrol lazima uwe muoga. Mf.kuna mmama naona walimchanganya na Nani sijui akiwa ktk gari yake ndogo yenye tinted Basi walimfukuzia wakafyatua Risasi...
  6. Mkalibari

    Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Yeah nasikia mabati Yale yamewekwa alfajiri ya leo kuzunguka eneo lote,na nemba na jina la sheli zikazibwa na stika baadae wakawekwa mabaunsa kibao kulinda hapo. Ndio mida ya jioni imekuja kichwa Cha Roli kikiwa Kasi kigaingia ndani kwa kugonga mabati Yale na kikakanyaga watu kadhaa na...
  7. Mkalibari

    Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
  8. Mkalibari

    Je, wajua Adam na Hawa walikua rangi gani?

    Mpaka leo hakuna jibu shahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mkalibari

    Bakhresa, kama katika hoteli yako ungeweka viwanja vya mpira ili timu za Ulaya zije kuweka kambi kipindi cha maandalizi, ingependeza zaidi

    Wazo zuri sana, tena anaweza akaingia mkataba na timu kadhaa za huko Ulaya za mpira wa miguu na hata michezo mingine.. Mkataba wa makubaliano kua wanatumia hoteli hiyo na facilities za viwanja na gym kama ulivyoshauri mtoa mada, wakati wa maandilizi ya michuano na ligi zao lakini pia hata...
  10. Mkalibari

    Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

    Siku hizi MUZIKI NI BIASHARA full stop! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mkalibari

    Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much Fluid?

    Duh 2016,inamaana ulichepuka mkuu? I bet shem wetu akisoma lazima mgawane mali siku hiyo hiyo.... Any way kama wadau wengi wanavyosema hapo juu,hii kitu ni kila mwanamke anaweza kutoa hayo makitu ...ispokua kuna factors nyingi kwanini wengine hawatoi au hutoa kiasi kidogo,most importantly ni...
  12. Mkalibari

    Nahitaji jiko la gesi la kuchomea nyama

    Hiyo ukiitazama vizuri iko na blocks(mawe) maalumu ambayo yanatumika kama mikaa ya kawaida... Faida zake ni kua mawe haya hayatoi moshi lakini pia ni reusable 5 to 7 yrs.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mkalibari

    Nahitaji jiko la gesi la kuchomea nyama

    Kariakoo sehem gani mkuu...maana jana nimezunguka kule mitaa ya swahili na uhuru lakini sikufanikiwa,na kila niliemuonesha picha alionekana kuliona kwa mara ya kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mkalibari

    Nahitaji jiko la gesi la kuchomea nyama

    Thanks...wao wanaunda au wanaagiza special? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom