Recent content by Mkaliamboga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Wewe wakuja huna unolujua Mjini yawezekana huna hata miaka mitatu Sasa kama alitumiwa kumaliza biff kwann asiwashirikishe wenzake Motherfucker?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Kalapina kaingiliaje mchongo? Yeye si kaalikwa tu kushiriki matamsha,sasa kosa lake nn? Kwani yeye ndio kaandaa tamasha?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Hata kalapina na ushamba wake,Sugu kamtag kwenye nyimbo zake akakuacha wewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Sasa mnapata elimu kwa missninformation? Kusema sina nnachojua kwenye industry kwa kuzungumza ambacho hamtaki kukisikia haiwezi kuwa kweli Nyinyi ni washamba flani wakuja mmekutana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Halafu huyo Sugu wenu ndiyo mjue naye ana matatizo. kwenye hiyo dili ya malaria aliunda Anti Virus project halafu alivyovuta mpunga kwa kina Ruge akawazunguka wenzake kimyakimya Naye snitch tu kama nyinyi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Wewe choko kumbe hujielewi Unakunyakunya uharo tu mothefucker Wewe si ndio umesema alikuwa gate man sasa ndo kazi gani hiyo Guluguja wee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Wewe ndio hujui kinachoongelewa Hapa nazungumzia kumuita kalapina mshamba toka enzi hizo ndio nami nikatoa hoja hiyo So wewe ndio huna maana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Ila na yote hayo Sugu alimpa credit kwenye nyimbo zake na akakuacha wewe mjanja Motherfuc***
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Soul artist ndio nn? Ndio unajiita Dr Phd Fala kweli wewe wakuja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Sasa anayeandika kijuaji ni mm au wewe? Sasa kama waligombana au kutofautiana ndio inaondoa ukweli kuwa alimtaja kwenye verse zake? Sasa mbona wewe na ujanja wako hajakutaja akamtaja mshamba Pina? Acheni chuki za kishamba nyinyi,halafu kuonyesha ugoloko wako unaongelea bangi utasema Sugu naye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Sasa nani hajampa Sugu respect yake? Kama sugu mwenyewe alimtag kalapina
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Nyie wote washamba tu Usnitch wenu na watu hauwasaidii lolote Huyo kalapina na ushamba wake Sugu alimpa tag
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Na ushamba wake huo Sugu alimtaja kwenye mistari yake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Sasa swali gani unaniuliza we wakuja? Hoja ni kuwa Sugu kamtaja kwenye mistari yake,hilo la ushamba au sio mshamba mm halinihusu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kalapina ampondea Sugu

    Sasa wa kuhadithiwa ni mm au wewe? Emu muulize kama hajawahi kuishi kinondoni mwanamboka? Halafu tofauti ya gateman na mlinzi ni nn Mbona unaleta ulimbukeni nigga!!
Back
Top Bottom