Recent content by Mkalapa boy

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pump ya kumwagilia inauzwa

    Pump ya kumwagilia inauzwa inch 3 800000 bargain Ipo nicheki 0710881879 Nipo mwenge Dar
  2. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Dust sucker mashine inauzwa

    Wadau nauza mashine ya kutolea vumbi Niko Dar Mwenge 0710881879 Bei 80000
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna wachambuzi

    Kwa hiyo mkuu unategemea mbwiga aende akafanye mahojIano na rahisi wa caf
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta kaka Genta aseme neno kuhusu usajili

    Habari wa bodi wa JF hususani wana michezo. Moja kwa moja kwenye mada. Kaka GENTA uko wapi sioni maoni yako katika kipindi hiki Cha usajili klabu yetu(Simba) inasajili wachezaji wanaotoka vilabu vinavyoshuka daraja uko kimya Wala haukemei swala hili wewe ndiyo mtetezi na msema kweli pale mambo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Huwezi Pata kwa Bei hiyo kaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ambaye anaijua vizuri wilaya ya Masasi iliyopo mkoa wa Mtwara

    Panya wapo pia mkuu fungu buku
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kiume - nani anafahamu TIBA ya kweli?

    SOMA TATIZO NILILOWAHI KUPITIA.Ilikuwa mwaka niliishi wilaya ya Nzega for almost 1yr nkipiga kibarua Baadae mwajiri aliniamishia Tanga kwa wakati huo familia ilikuwa Dar wakati natoka Nzega nilienda kwanza Dar home Usiku wife alinipa mzigo ila mashine haikuinuka hata kidogo,asb nilijaribu tena...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Njoo mbagala mkuu 1.5mm ni 1400-1500. 2.5 ni 2000 double socket tronic 7000 wakati sehemu zingine 1.5 ni 1800 2.5 2500
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini inabidi muungane kuwaokoa wenzenu Wamasai

    Nimeona Aljazira wametoa kwenye news hour hii ishu ya lolindondo sijuwi loliondo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

    Hakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Hii, miaka yote Toni Kroos anavaa viatu Aina moja TU kila mechi?

    Hana Hela ya kununua njumu huyu mlevi Sana na mademu kwa sana We mtoto wa juzi hujuwi njumu ila SS wazee Cha ndimu tunajua njumu ndo nn.(njumu viatu vya kuchezea mpira au six meno)
  13. M

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Hii, miaka yote Toni Kroos anavaa viatu Aina moja TU kila mechi?

    Hana Hela ya kununua njumu huyu mlevi Sana na mademu kwa sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi: Afya ya Akili tuanzie kwa huyu Mbasha

    Lete picha
Back
Top Bottom