Recent content by Mkakombinga

  1. M

    Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

    Buji buji nilikumiss sn kk. Upo..? Nataka dawa za madini ...niende wapi?
  2. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Kwakutumia sheria ipi. Maana hata hyo 7% wanayoichukua bado yale mawe tena nikichenjua mwaloni wanachukua. Tatizo hapa nikuchukua mawe nakuyapiga mnada kwa kisingizio cha royalty. Hii nchi inaongozwa kwa sheria na kanuni. Sasa ni sheria ipi na kanuni ipi? Kifupi tatizo lipo hapa 1.unachimba...
  3. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Kifupi uko sawa kwamba kila dhahabu ilipiwe royalty na dhahabu ya mwaloni inalipiwa huko huko soko la madini . Nauliza 10% ya mawe ghafi yanayochukuliwa na watu wamadini nakuyapiga mnada kwa kisingizio cha rush. Hiyo ndo nataka kujua usikalili.
  4. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Kwa sheria ipi, wakati tumekuwekea hapo sheria? Hatuhitaji hisia kwani ww hujui uchenjuaji wa mwisho unafanyikia rugeni? Nahapo unakutana na maafsa wao? Tunahitaji sheria sheria kusaidiwa ili tujue.
  5. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  6. M

    Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

    Naunga mkono hoja...! Angalia Bord ya tume ya madini chini ya pr. I kikula, inamuogopa mpaka RMO , hapo unategemea nini???
  7. M

    Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

    Mimi mama namuunga mkono 100% kuifumua tanesco , wateuliwa wa jpm walikuwa nakiburi mno , kazi ilikuwa nikumsifia rais na kusema uongo. Eti kuunganishiwa umeme 27000/= 🤣🤣 tena huyo karemanii alichereweshwa.
  8. M

    Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

    Madini mama amulike vizuri bado kunaharufu kubwa ma RMOs wamekuwa wanyang'anyi.
  9. M

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Siyo kweli, kamemanii alianza kupiga sana, angalia kwenye gas na mafuta mpska aliundiwa tume ya kuchunguza. Lakini pia walipanga kupora mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo huko Nyang'hware geita.
  10. M

    Muwe makini na ATM card zenu, kashalizwa mtu Milioni 28

    Hii nistiry ya kutunga km vp basi jamaa alikuwa mgonjwa ambae ni mmiliki wa ATM card. Maana ukitoka hela yyte kwa njia ya simu lazima upate sms ina maana yy alitoa card na simu pia?? Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalivumbua.
  11. M

    Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Ubora wa abiria km wewe ndo unazidi kushuka ila cyo shabibi.
  12. M

    Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

    Gwajima anaongea kwa record's. Ukitaka kumpinga kasema ruksa ila uwe na hoja, kutumwa kumjibu. Mfano. Hiyo chanjo iko approved? Kwamba imepitia hatua zte za utafiti mpaka iitwe chanjo? Mbona ndg yangu Mbowe alitaka chanjo iwe ya lazima kwa kila nchi na hukuhoji? Kifupi hata km jpm kalala kule...
  13. M

    Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Kuna majizi mengi yamehusika kuibia Abiria kwa njia hzo hzo, kwa maana ya Baba mwizi na Mama mwizi. Hao wafanyakazi wa shabibi mimi nawapongeza kwa umakini walio nao.
Back
Top Bottom