Recent content by mkabaroo

  1. M

    Waafrika tuungane kuikataa Mahakama ya ICC na Western dominance and hegemony on our affairs

    Iendelee kuwepo maana inasaidia kuwapunguza kasi viongozi wauwaji wa raia kwa uroho wa madaraka,isingekuweposi jabu yangetokea ya mwaka 2007!
  2. M

    Mhariri Mwananchi: Taratibu, Tanzania inaelekea kuwa nchi ya kimafia

    QUOTE=MULUNGWANI;5872484]Natamani MALAWI wakaze buti tuwasaidie, potelea mbali ilimradi CCM iondoke madarakani Ha ha ha ha ha!mkuu punguza hasira umeenda mbali mno!
  3. M

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Mleta mada kitu ambacho hujakijua hadi leo ni kwamba hawa watanzania wa leo sii wa miaka ya sabini!huwezi kuwapelekesha maana wameshajua kohoji,wanaka Elimu bora,huduma bora za afya,maji,miundombinu,nk nk!haya yakifanyika hakuna atakayelalamika lkn kwa hali ilivyo ni vigumu sana!
  4. M

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Muonekano wake ni mtusi bila shaka yoyote huyo karudi nyumbani mana kazi aliyotumwa kuifanya Bongo alishaimaliza!
  5. M

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    Hapo ule msemo unaweza kudanganya siku zote ila si watu wote umedhihirika.
  6. M

    SUK yaigomea JMT kupelekwa FBI Zanzibar

    Kama yeye mwenyewe kataja jina hadi kwao sioni sababu kwanini hujatuwekea hilo jina hapa.
  7. M

    Mazishi ya Fr Evaristus Mushi: Dr. Slaa na Mtikila wanena

    Anamaanisha alichosema.
  8. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Inauma sana!!na taratibu uvumilivu unakaribia kufika mwisho!
  9. M

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Kwakweli hili jambo ni la ajabu sana!ni akili ileile ya kuongeza bei ya mafuta ya taa kudhibiti uchakachuaji wa petrol.
  10. M

    Yaliyotokea GEITA: Nini kifanyike kuzuia na kuepusha tofauti za kidini hapa nchini??

    Hapa nashindwa kujua kama hawa usalama wa taifa kazi yao ni nini maana kwa suala kama hili ilitakiwa lizimwe kabla halijaleta madhara,kumekuwa na udhaifu mkubwa mno kwani kuna matukio mengi ambayo kama wangekuwa makini yasingetokea,twiga kusafirishwa wazima wazima,wahamiaji haramu kusafirishwa...
  11. M

    Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    Spika asipate tabu kufikiri sana ajiulize ni kwani haya mambo yanatokea kwake na kwa mtangulizi wake hayakutokea??
  12. M

    Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

    Wakati Lema akitoa hizo namba aliwasihi wananchi wasitukane lkn huwezi kumpangia mtu namna ya kuandika anavyotaka.
Back
Top Bottom