Recent content by Mjuzi Wenu

  1. Mjuzi Wenu

    Niweke Spensa au Shokap gari kwenye gari inayogusa chini sana?

    tumia spacer ndio njia rahisi na itayodumu adi pale utakapo amua kuzitoa mana kuna watu wengine huwa wanapenda gari iwe chini.
  2. Mjuzi Wenu

    Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

    https://www.jamiiforums.com/threads/wakaguzi-wa-magari-kabla-ya-ununuzi.2111294/
  3. Mjuzi Wenu

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Habari kuchelew kuwaka kwa gari inaweza kutokea kulingan ubovu wa starter,betry, kichujio chavmafuta na fuel pump pia inaweza kutokea kulingan n matatizo ya kimfumo wa umeme hivyo kupelekea kias kidogo cha mafuta kwenye combation chamber karibu tuikague gari yako kwa vifaa vya kisasa tupo chuo...
  4. Mjuzi Wenu

    Wakaguzi wa magari kabla ya ununuzi

    Ukaguzi wa gari moja kwa moja tunaenda kuangalia matatizo ambayo yanaweza kupelekea gharam kubwa na usumbufu kwa mteja hivyo tunakagua gari ili kupunguza ukubwa wa tatizo au kuondoa kabisa tatizo kwa namna itavyo wezekana pia kwa gari ambayo itagundulika ilinunuliwa na tatizo la aina fulani...
  5. Mjuzi Wenu

    Wakaguzi wa magari kabla ya ununuzi

    Pre purchesing Car Inspection ni moja ya kitu muhimu sana katika ununuzi wa gari kwakuwa itakufanya ujue tatizo lolote la gari kabla ya kujilidhisha na kulinunua. Hivyo OKEMI technical services tumekuja na huduma hii baada ya kuona baadhi ya wateja wetu kuuziwa magari yenye matatizo ambayo...
  6. Mjuzi Wenu

    Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

    Ipo hv kwa mimi nimekulia kijichi n nimeishi mbezi ila mgeni nani na mazingira yake na nyumba zilizopo n miundombinu yake kwa sasa naweza kusema vinashabiiana na maeneo wanayo ishi wakubwa mf ostarbay au masaki pia ni mazingira ambayo yamejengeka kimakazi zaid na si kibiashara kam maeneo mengine...
  7. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    serikali ilishatoa ufafanuzi kuwa vifaa vya mfumo wa gesi asilia vina gharama kubwa kwakuwa vifaa hivyo avina msamaa wa kodi pindi viagizwapo pia system za magari hasa katika mfumo wa engine vina gharama kubwa. mfano, ECU, common rail, coil, throtle body na vinginevyo vina gharam labda uwe...
  8. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    gharama ipo juu kutokana na gahrama ya vifaa ipo juu mfano vifaa vingi vinaanzia 1.6M hivyo imepelekea gharama kuwa juu kwa ujumla ukizingatia ufungaji wa mfumo huu unafungwa na mtu alie bobea katika mfumo wa engine ili ulaji wa gesi uwe wa kiwango cha chini kama ilivyo kusudiwa. 🙏
  9. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    hakika ila mtusameh sana mama zetu 🙏
  10. Mjuzi Wenu

    Nifunge AC ipi kwenye nyumba yangu?

    kwanza kabisa vitu vinavyo weza kupelekea AC kutumia umeme kupita kiasi ni -uchafu katika chujio -kufeli kwa baadhi ya vifaa vya AC mfano capacitor au motor -AC ya kizaman au iliyo pita mda wake -ufungaji mbovu -kiasi kidogo cha refregerant Ufungaji mbovu Mfano fundi akifunga ac katika eneo...
  11. Mjuzi Wenu

    Nifunge AC ipi kwenye nyumba yangu?

    inategemea na ufungaji wa fundi pia ushauli kutoka kwa mtaalamu jinsi ya kuilindi na kuitunza ili ifanye kazi kwa ufanisi na kwa gharama iliyo kusudiwa
Back
Top Bottom