Huyu aliyeweka nondo mwehu..angalieni vizur hyo picha,hpo kwny baraza ya kuingilia kwny duka pia ameweka nondo,Mwenye nyumba ana roho mbaya tena anastahili ashitakiwe kwa upuuzi alofanya au aondoe hyo hatari.
Binaadamu wenzangu roho mbaya haifai.
Tazama hiyo picha. Mtu anadiriki kuweka nondo za futi moja zenye ncha kali kwenye baraza ili watu wasikae. Me najua nondo kama hizi huwekwa juu na ukuta au kwenye geti.
Sasa huyu ndugu yetu ameweka nondo kwenye baraza, bila ya kufikiria kuna watoto wadogo...
Katika pita pita za kutafuta maisha,nimepita mitaa ya magomeni mapipa nikaona dampo limeanzishwa barabarani..Jamani hii ni aibu kubwa kutupa taka ovyo,ukizingatia hata barabara yenyewe haijafunguliwa rasmi na mwendo kasi haujaanza kufanya kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.