Recent content by mjuniour

  1. M

    wwe wrestlemania 33 highlists

    mieleka ile ni mipango na baadhi ya michezo uwa mshindi anapangwa ili kuendelea kuvutia watazamaji nimefatilia block lesner ile match ilikuwa lazima ashinde maana uyo mwenzake mkataba wake ulikuwa unaisha baada ya iyo event hvyo basi matokeo waliyajua aisee wwe ni mipango tu kampuni ile inafanya...
  2. M

    Nimechaguliwa Arusha Technical College naomba muongozo

    arusha technical wanatoa degree ndugu
  3. M

    Mwaka jana mikopo ya kumwaga hadi waliotokea diploma ila mwaka huu kinyume chake..

    aliyefail alipata zero bhana uyo diploma kwani nacte awana vigezo vya kudail swali nacte wanadail failure ndio maana division one mpaka four wote wanahesabiwa ni pass ila madaraja tofaoti narudia failure ni zero
  4. M

    SAUT MWANZA

    majina ya saut tayari ndugu kwa batch one
  5. M

    Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

    vinadaili direct sawa ila taarifa zako lazima zipelekwe tcu ndugu kudhibitisha kama umekizi vigezo usika tcu aikwepeki
  6. M

    Naomba kujua kama TCU wameshatoa transfer maana ninataka kuhama chuo

    mashishanga, Ndugu hao ni MUM utaratibu uliopo tokea mwaka jana baada ya round zote kuisha TCU uangalia ni kozi gani na chuo gani azijajaa ndiyo ufungua transfer huwezi fanya transfer kama round zote azijaisha na ufanyika online na kulipiwa elfu 30 ndugu huo ndio utaratibu.
  7. M

    Msaada wa kuhama chuo

    subr dirisha la transfer tcu wakifungua wataweka vyuo ambavyo vina nafasi na kozi pia ila inabidi ulipie then utachagua kozi nyingine chuo kingine kama iko eligble na iyo kozi basi utafanikiwa transfer yako ila akikisha una vigezo vya iyo kozi unayotaka kwenda chuo kingine
  8. M

    SAUT MWANZA

    pili usiogope registration uendelea ata wiki mbili tatu baada ya iyo tarehe waliyoweka hapo
  9. M

    SAUT MWANZA

    tarehe ni tatu iyo iyo maana masomo yanaanza rasmi kesho
  10. M

    NACTE NA TCU VIPI MBONA MNATUCHANGANYA?

    batch bado zinaendelea awo uliowaona bado watatoa batch nyingine awo watatu ndio wamefanikiwa kwa izo batch mbili hvyo isikuchanganye kama una vigezo chuo utapata
  11. M

    SAUt mwanza

    Majina wametoa yote kwa pamoja first and second
  12. M

    Msaada SAUT main campus- Mwanza

    saut wametoa majina yote kwa pamoja first and second round
  13. M

    Msaada SAUT main campus- Mwanza

    Ndio maji na umeme ni wa uhakika labda tanesco wawe na tatizo ndio umeme uwa unakatika vinginevyo vinapatikana kwa uhakika kwa chuo hostel na nje
  14. M

    Msaada SAUT main campus- Mwanza

    Laki tatu kwa mwaka mzima wa masomo sio mwezi
Back
Top Bottom