Recent content by mjumbewenu

  1. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Maneno mazur asee, mapenz bana!!!

    Falling in love is only half of what I want. Staying in love with you till forever is the other. Unataka nn sasa ......
  2. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

    Mkuu Nina tAbia kama ya kwako asee nkimwona mwanamke anayefanana na mpenz wangu nahisi kumpenda sijui ni kwa nn
  3. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

    Mkuu Huenda ikawa, naisapoti kaul yako 50%
  4. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maajabu ya Serikali hii haya hapa

    Mkuu viongoz wa siasa wababaishaji sana, kama Lipumba naona anatafuta maslahi yake
  5. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa member wa ICC; tunafaidi nn?

    Habar wakuu Naomba mchango wenu, " Tanzania inapata nn japokuwa ni member wa ICC tokea ianzishwe kupitia mkataba wa Roma na pia ikijitoa inakuwaje?
  6. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara yatokanayo na kufanya tendo la ndoa kwa mama mjamzito au baada ya kujifungua ?

    Mama anapokuwa mjamzito je, ni miezi ipi huruhusiwi kufanya naye tendo la ndoa ukiacha mwezi wa nane na wa tisa; baada ya kupata ujauzito. Pia baada ya kujifungua kufanya tendo la ndoa haina athari kiafya kwa mtoto anayenyonya. Naomba mchango wenu kwa wale wenye uzoefu na haya mambo.
  7. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokutana na mke wangu mpenzi

    Inapendeza kuona hivyo historical background inaweza kuwasaidia na wengine
  8. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Huyu mama amefanya jambo la maana sana kulivunja bodi ya TCU
  9. mjumbewenu

    JamiiForums Tanzania Jamani ni uzungu au maana na huku siku hizi imekua fashion

    Naona kubwagana ndio fashion maana tunaona hata kwa wasanii wakubwa inatokea Mara kwa Mara mm naona tunaiga maisha kitu ambacho cyo sahihi
Back
Top Bottom