Recent content by mjumbe cocha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu

    Mwandosya awe wazili mala mbili?acha kutumiwa kijana. Na wewe umepewa uwaziri wa mkuu nn, kwa kutumika?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ala Matapishi yake

    Alikutana na mabango raia wanamtaka LOWASA akashangaa kuwa kweri mh ni mti wenye matunda unaopingwa mawe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu apokelewa na mabango ya Lowassa na wananchi wa Morogoro

    Sasa hivi kila kwenye mkuttano wa hadhara vijana na wazee hubeba bango lowasa anatosha2015. Nimeona hii tukutu mbeya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

    kwani mtu kutoa pesa kwa jili ya mungu wake ni kosa, je misaada tunayopokea tokea nje ya nchi tunawapaga nn?mbona hamuulizi?,acheni kudanganywa, hakuna mgombea ccm asie toa hela. Si bora huyo anae toa kuliko hao wanaoiba na kujenga masheli na mahotel wewe mwananchi hufaidiki kitu. Jamani tuache...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

    Kuhonga ni sifa ya mwanaume yoyote ili ale vitamu kiulaini. Wewe demu huna nn!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi sikia skendo yoyote inayomhusu Dr. Shein. Je, anafaa kuwa Rais?

    USIANGAIKE CC TUNAMTAKA EDWARD LOWASSA,, safari ya matumaini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Escrow ilipoa,TAKUKURU wanaipasha

    Kama hao wametoa rushwa je Mbona salio pokea ziiiiiii!! au wametoa rushwa na kupikia wenyewe....!!!!. Napita naomba nisitafutwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

    Ingia yutube zipo kibao, ila angalia usije ukamkimbia hiyo timu me..... au subilia ipo siku ataunguluma taifa litamsikiliza kisha mtasadiki kuwa kweri alistahili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

    Mungu akupe subila mh.lowasa, na uendelee na ukimwa wako bila kujibu ila mapambano yaendelee cc tunasubilia ushindi wa tsunami ili wajue kuwa unakubalika na unauzika ila watu tunaogopa tu kusema maana kuna viongozi wanatulazimisha tusikuchague. Hakuna mwingine atakae weza fikisha hata nusu za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Dawa ya Mba sugu ya kienyeji! Usipopona ninarudisha pesa!

    Namba yako, please…………
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyoongoza kwa matumizi ya ''Smart Phone'' vyatajwa

    UDSM zamani sasa hivi chai tu……
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Si mlituambia pro. Ibrahim juma atampendelea je kikowapi!!! Acheni kumchafua presidor kwa udini wenu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

    Watu mnaweweseka na hilo jina!!! Nyinyi semeni lolote lile tungojee ushindi wa kimbunga nec- edward lowasa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Mbona office za umma wakristo wanawekaga mikrismass na hamsemi kuwa office ni kanisa? acheni chuki zidi ya uislam.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    Msikilize wewe, hakuna cha dunia ni mwizi .
Back
Top Bottom