Niaminivyo mimi nikua CHADEMA ni chama makini kuliko chama chochote kile Tanzania.
Sasa ninapata wakati mgumu kutambua umakini wao ulikua wapi wakati wanapitisha jina la mtu kichwa majimkama huyu na kukubali awe kiongozi wa sehemu nyeti kama aliyokua nayo?maana ninaposoma hii statement yake hapa...
mimi naamini jamii forum inahusisha watu makini sana lkn nashangaa kuona wengine wanakulupuka.siku saba hazijaisha then watu wanakulupuka kusema mnyika amekulupuka hivi unafikili mnyika ni kama wewe unaekulupuk?ngoja sku zifike then utashangaa kama haujaifichwa kama ule wa lema arusha.
nimeguswa kuchangia baada yakuona busara na hekima uliyokua nayo.nimesoma thread zako unaonekana uko makini sana iwapo kama unamaanaisha.
Napenda nichangie kama ifuatavyo
Achana na mawazo ya hawo rafiki zako wanaokuambia huyo dada anakutaka,na hata kama anakutaka kweri nakushauri usirubunike...
Actually every person is differ from another.Na hii nikutokana na umbaji wa mungu mwenyewe,utamu wa mtu na mtu kutokua mtamu inatokana na mtu kuitambua au kutoitambua special unique yake aliopewa na mungu.
Tumesha wazoea hawanaga objective mpaka makamanda wa anze ndio na wenyewe wanapata pakuanzia si unaona na kina membe wameanza kwenda majimboni?Usishangae na kesho mkapa kujilipua tena kama kule meru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.