Naona ni kheri Saashisha anaetumia Mfuko wa Jimbo Kwa maendeleo ya Jimbo Zima, kuliko Freeman Mbowe ambae alitaka Fedha za Mfuko huo zigawiwe Kwa wenyeviti wa matawi ya Chadema Jimbo Zima Ili zimlinde kwenye uchaguzi wa 2020
Chadema tulieni dawa iwaingie, Mbunge tunaona kazi zake Kila mahali...
BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Mh Rais Pole Kwa majukumu, Mimi naitwa Emanuel Magoya Lucumay ni mkazi wa jimbo la Hai, nimelazimika kuandika barua hii kuelezea kilio cha familia yetu ya Ukoo wa Magoya juu ya manyanyaso tunayopitia, dhuluma Kubwa tuliofanyiwa na Emanuel Loishyie...
SIRI IMEVUJA!!! MENEJIMENTI YA MOSHI MANISPAA YABAINI HUJMA NA CHUKI ZILITUMIKA KUMUONDOA MEYA MADARAKANI KAMATI YA RC YAPEWA TAARIFA FAKE NAYO YAJICHANGANYA CHUKI ZATAWALA
Wakuu wa Idara wa Manispaa ya Moshi waendelea kuumiza kichwa na kutafakari kuhusu sakata la Meya, Wamegundua kwamba Hujma...
TUNATAKA MRISHO MASHAKA GAMBO ACHUNGUNZWE
Walileta mgogoro wa ujenzi wa stendi kubwa Arusha akiwa yeye na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Jiji mpanga safu mwenzake wamenunua viwanja kwa siri wakilazimisha Serikali inunue maeneo yao kwa ajili ya kujenga stend ya arusha jiji ambayo paka Leo...
Aseee Mbowe katepeta sana sikuiz
Hivi hajui hata Kahawa yetu imetambuliwa kwa viwango vya juu, watu wamerudi mashambani kupanda tena kahawa kwa kasi zaidi baada ya Mbunge Saashisha kutafuta masoko na ni jambo jema tayari tumepata fedha za ukarabati wa skimu zetu na mifereji yetu, lengo la...
Uko katika mtandao wa Facebook Kamanda wa Chadema Moshi mjini Dastan Rumisha amemvaa vikali Kamanda mwenzie Malisa GJ baada ya kupost andiko akimtukana Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe Kwa kile alichoongea hivi karibu juu ya kumaliza tofauti za kisiasa jimboni humo hasa clip inayotembea YouTube...
KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAPONGEZA UJENZI WA MADARASA YA UVIKO 19, YAMASHUKURU RAIS SAMIA SULUHU KWA KUIKUMBUKA MOSHI
Kamati ya Fedha na Uongozi ya halmashauri ya Manispaa ya Moshi ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambae ni Mstahiki Meya Juma Raibu, Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Mhe Priscuss...
MEYA MOSHI ACHANGIA MILIONI MOJA UJENZI WA MADARASA YA SAMIA
Meya Wa Manispaa Ya Moshi Juma Raibu ,Amechangia Tshs Million Moja Kwaajili ya Ujenzi Wa Madarasa Mawili Ya Shule Ya Msingi Uhuru iliyopo katika kata ya mawenzi , Mkoani Kilimanjaro
Ametoa mchango huo jumanne Disemba 07,2021 katika...
MEYA MOSHI ATOA MASHINE YA PHOTOCOPY PRINTER NA
MAGUNIA YA MAHINDI
Leo Mstahiki Meya Manispaa Ya
Moshi Ameshiriki Kikao Cha Wazazi Shule Ya Msingi Mandela Iliyoko Manispaa Ya Moshi,Ambapo Katika Kikao Hicho Mstahiki Meya Amewapongeza Wazazi Na Waalimu Wa Shule Hiyo Kwa Ufaulu Mzuri Wa Wanafunzi...
MEYA RAIBU AFANIKISHA AJIRA KWA VIJANA WALIOTAPELIWA MOSHI, 60 WAANZA KAZI DSTV
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
Mapema leo Mstahiki meya Wa Manispaa ya Moshi Mhe Juma Raibu amefanikiwa kuwasaidia vijana 60 miongoni mwa vijana 500 waliokumbwa na kadhia ya kutapeli fedha zao na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.