Recent content by Mjubheli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Crescent Magori Mwenyekiti Mpya Simba Sport Club

    Tuliza kwikwi..tukifeli Sisi si ndio furaha yenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Simba! Unatakaje bwana utopolo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Mwambieni Mpina arudi CCM haraka. Akirudi nitampokea mwenyewe

    Alinyanyaswa au maigizo ili project ifanikiwe. Baada ya kuwahadaa waTz uchaguzi ukiisha atarudi ccm
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Plan gani bora bana na wewe? Hiyo mijizi haisafishiki na tunaijua miaka mingi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Kila tukijunguza tunaona anaomuomba documents Mwanyika, vita ya uchumi ngumu ndugu zangu ni zaidi ya vita ya kawaida ,walioko jeshini wanaelewa tunapokua vitani anatokea msaliti anafanywaje! He is not suppose to survive ilikua saa5 na baadae saa7/8 TAL akamiminiwa risasi tena walinzi wakiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Najiuliza je Azam wamemlipa fei toto mabilioni kwa ajili ya mechi za ndani ama ndio fei toto akawabebe na kimataifa CAF ?

    Binafsi namuonaga Mchezaji wa kawaida lakini ukiingia social media unakutana na sifa kede kede. Kuna wakati nikajua sijui mpira
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Huyu nafasi hiyo walimuonea Tu Kwa haiba yake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sugu: Nchi yetu Inachekwa huko nje kutokana na Aina ya Wagombea Urais waliotangazwa

    Yaani Salumu Mwalimu ndio mgombea urais
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Hawa watu wa hovyo ndio wanawashabikia viongozi wetu na wao wanaona Sawa tu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    Hayajakukuta! Sio kila changamoto inavumilika vema kuinuasuru afya yako,hao wanao wataishi hata usipokuwepo. Tena wanaweza kuishi vzr zaidi ya ulivyokuwepo wewe! Wanaume tujifunze kujijali kibinafsi Kwa sababu Dunia haiko upande wetu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Wewe post zako nyingi ni za kukosoa,matusi na kunatosha tamaa wengine...Itakua Una roho mbaya Sana punde si punde Utakua mchawi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    Huko anakokwenda Kwa desturi za viongozi wa kiafrika hiyo EAC itavunjika sasa hivi...Anaingia utamu wa watu? Tatizo la nchi nyingi za kiafrika ni uelewa mdogo wa wananchi kuhusu mahusiano ya siasa na maisha yao
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

    Yeyote anawkusaidia kushika siraha vitani dhidi ya adui ni askari mwenzio..
Back
Top Bottom