Recent content by Mjuba117

  1. Mjuba117

    Nauza hii phone 13 Pro

    Hii gevey card ndo ipoje mkuu? na je nawezaje kuipata nna shida kama hiyo kwenye iphone yang
  2. Mjuba117

    Hiphop punch line

    Mnataka nini wazee, nasikia mnataka punch line, Niwape diss pekee, au hata nyeusi thats fine, Ntachana mtaitikie ee, au nkikosea mtanipa sign, Nkimaliza tutafanya shereh, na tutawaka kama sio kushine, Sas mnambie niendelee, au naanza kutembea nje ya line,
  3. Mjuba117

    Namna ya kujiandaa na interview za Serikali (ajira portal)

    hizi za Environmental Officer II tupeane ramani kidogo
  4. Mjuba117

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mko poa wana JF... Msaada kwenye written interview kada ya environmental officer - TANROADS
  5. Mjuba117

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nkupe XR
  6. Mjuba117

    Naombeni muongozo juu ya maswali written ya utumishi, kada ya Afisa Mazingira

    Jamani wana JF mpooooo!!!!! Naombeni muongozo wa nafasi Katibu Msaidizi wa Bunge - Usimamizi wa Mazingira nijipange na written.......
  7. Mjuba117

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wana JF mko biyeeeee??????? Naombeni Tips hii nafasi ya katibu msaidizi wa bunge - USIMAMIZI WA MAZINGIRA
  8. Mjuba117

    Wauza smartphone tukutane hapa

    GOOGLE PIXEL 4XL RAM 6 + INTERNAL 64 ANDROID VERSION 13 CLEAN HAINA KASORO CAMERA KALI [emoji991] FACE ID + ESIM [emoji736] BEI: 360, 000/= Tshs LOCATION: DODOMA NICHEK [emoji338] 0714 05 41 74
  9. Mjuba117

    Environmental Officer II (Afisa Mazingira daraja la II) wanatoa maswali yapi kwenye usaili

    WanaJF, tujuzane kwenye kada hii, Written Interview wnatoaga maswali yapi? Wapi tupite jameni.
  10. Mjuba117

    Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Mkuu nenda kwenye kampuni za ujenzi za kichina (wana miradi mingi) ila cha zaidi kma una leseni ya udereva itakupush kiasi flan cuz utakua dereva ila unajua kichina pia, ila translator as translator kuna ukakasi kwasabab wachina wenyew baili sana na ela zao so ni muhimu kuwa extra mile ili...
Back
Top Bottom