Recent content by MjombaRiziki

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme huku kwetu Toangoma TEMEKE Dar Es Salaam Umekatika Usiku wa SAA 10 Arfajiri ya Leo 4/12/2024 na Mpaka Muda Huu SAA 11.50 Haujarudi. Shida Nini? Wakati mna jinadi Umeme Unazalishwa wa Kutosha Mpaka upo wa Ziada? Au Hamtakosa Sababu? Najua Mtasema Miundombinu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wilson wa ajali ya Karatu, leo ameanzishiwa mazoezi ya viungo

    Naona Mama alivyokuwa Marekani hivi Majuzi aliwatembelea hawa Vijana(Washakuwa Wakubwa),wakiendelea na Masomo Elimu ya Juu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

    Ikarus "Kumbakumba"
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyongo ya mamba ni sumu inayoweza kuua

    Nami nimesikia Sana Simulizi kuhusu Nyongo ya Mamba, wanasema ukiweka kwenye Maji ni ColourLess(Haitoi Rangi) na wameenda mbali zaidi kwamba vilevile ni TasteLess(Haina Ladha). Wabobezi njooni huku Mtiririke kutujuza kuhusu Nadhalia hizi za NYONGO ya MAMBA!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna siku pale Kivukoni yatatokea maafa, msikimbilie kuunda tume

    Leo 18.04.2023 saa 1.45 usiku Kivuko cha Sea Taxi kilizusha Taaruki kwa Abiria waliokuwa wakivushwa kuelekea Kigamboni, baada ya kukigonga Kivuko cha M.V Kazi Mita chache kabla ya kufika kwenye Gati. Taaruki ilikuwa kubwa, Shukurani kwa Mabaharia ya Kivuko kwani waliweza kutuliza Taaruki kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha pombe ghafla anaweza kufa

    Wanaopelekwa Sober House hawaachishwi Vilevi walivyokuwa wakitumia kwa ghafla, huachishwa taratibu. Usisubutu kuacha Ulabu ghafla, Utakufa!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jana Usiku Majira ya saa 7 walikata na kurudisha asubuhi leo tarehe 24.01.2023. Na jioni hii wamekata tena. Tatizo ni nini. Eneo ni Toangoma - Kongowe DSM
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna siku pale Kivukoni yatatokea maafa, msikimbilie kuunda tume

    Sana Mkuu, na Walivyoongeza Kina, Mkondo umekuwa na Nguvu Zaidi. Mungu aepushilie Mbali. M.V. Kazi naona itaanza Soon!
  9. M

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

    Wamebadili Gia Angani, Wamesema wataanza kujaza tarehe 22 !!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Ni karibu Makanisa Yote Mkuu! Mahubiri sehemu kubwa ni kutoa Pesa, sema wamebadilisha jina; Sadaka,Matoleo n.k.
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

    R I P Tshala Mwana Nakumbuka Sana Nyimbo zake na Style yake ya MUTUWASH!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

    Kwa upande wangu mimi, urefu wa uume niliokuwa nao nikiwa na miaka 14 i.e (5.9 inch) ndio huo huo nilionao mpaka leo, kipindi hicho ulikuwa mwembamba, lakini nilipofikisha miaka 23, upana wa uume uliongezeka ghafla na kuufanya kuonekana mfupi na mnene Mkuu Mbona Unajikanyaga hapa Umesema una...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Ni Mali ya NSSF Mkuu!!
Back
Top Bottom