Recent content by mjombakim

  1. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    ndivyo wanavyo kufanyaga wewe tuliaa
  2. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    poa poa mkuu jamaa lina kera sana hilo pengine nalo lina pelekewa moto
  3. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    ANGALIZO 🔞🔞🔞🔞🔞🔞 JAMAA ZENU HAO pengine na wewe upo hapo kambini US
  4. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    Bwana yule! na kuja kujifanya Mungu mtu!
  5. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Madiwani Buchosa wakubali kuhamia Geita ili kutoa fursa kuanzishwa mkoa mpya wa Chato

    Waangaliye utaratibu benki Kuu ya Tanzania nayo waipeleke Chato ingependeza
  6. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Mtaondolewa kama ile bomoa bomoa ya kimara hakuna namna !
  7. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Katiba ya Tanzania ni pambo tu kwa serekali sheria zina fanya kazi kwa wanyonge tu!
  8. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    pole nyingi sana kwa mama Tanzania tumepigwa na kitu kizito!
  9. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    mfumo wa utendaji huonekana alfajiri sio usiku wa manane Lisu uli mfahamu lini? Magu naye uli mfahamu lini ? nyongeza hakuna watenguaji apo kuna wazee wa fursa!
  10. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    mwendazake kuna vitu alivipangua kwa sasa vina rudi kwa speed ya kimbunga! kuna mahali alikosea ange tuacha vizuri kweli 🤔
  11. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Umeme wa nchi, Mkipangiwa bei mmekwisha!

    Kweli kwenye umeme tuta mkumbuka siku hizi dakika 3 tu wana kata
  12. mjombakim

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    ume meza dawa leo kweli au mwezi ni mchanga
  13. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

    😂😂😂😂😂😂 ninaomba kufanya marekebisho
  14. mjombakim

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    yani nyie mna juwa sheria za kimataifa tu? yaani una jaribu kusema mavi ya mwingine ni mavi yako ni chakula? nyie ccm ni moja wapo ya viumbe wa ajabu walio kufa ila bado mnaishi kama mizimu! wanacho fanya wafuasi wenu ni kutambika tu ndio maana hamjazikwa! ila hawapo mbali kuwazika na...
Back
Top Bottom