Recent content by Mjomba Mkude

  1. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini, msije tapeliwa kama mimi nilivyotapeliwa na Steven Frank

    tatizo wabongo tunapenda short cut
  2. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Plot 25*25 for sale

    Mtu makini hawezi kutoa hela yake kihasara hasara. Jamaa ameeleza vizuri taratibu za kufuata ambazo kimsingi hata huko wanafuata pia. Hivyo aliye tayari anaenda anaona then atafanya maamuzi. Mimi mwenyewe nilioambiwa mwaka jana nlikuwa mbishi sana, sasa hivi, nna plot na nimeanza ujenzi. Japo...
  3. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Plot 25*25 for sale

    taratibu zote lazima zifuatwe, na kimsingi usikubali kutoa hela pasi na usibitisho wa mamlaka ya serikali.
  4. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Plot 25*25 for sale

    ni pm mkuu
  5. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Plot 25*25 for sale

    ni pm no yako mkuu
  6. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Plot 25*25 for sale

    Heri ya pasaka wakuu, Kuna vijiplot 25×25 na zaidi vinauzwa maeneo ya Bunju A. Bei inaanzia m 3, Mwenye kuhitaji naomba anipm tuwasiliane zaidi.
  7. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    wapi huko mkuu, nije niwaone?
  8. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop PC, Monitor and Printer: All for 650k

    Mkuu niuzie Printer pekee itakuwa shilingi ngapi?
  9. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop PC, Monitor and Printer: All for 650k

    650k bei kubwa mno boss,chukua 350k
  10. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Kamanda Simon Sirro: Utaratibu wa kufuata sheria za barabarani

    Siro huwa simuelewi juzi kati alikataa polisi jamii kukamata bodaboda lakini pale fire wamejaa kibao wanadhalilisha watu,tena na askari wa siro wapo pembeni,ni aibu sana kwa mkui kutoa agizo ambalo halitekelezwi.
  11. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Dudumizi.,weka na bei mkuu
  12. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu chukua 180k
  13. Mjomba Mkude

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Mkuu au unataka tukupe cheo cha plain gwanda..
  14. Mjomba Mkude

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Kwahiyo unamaanisha nimle au?
  15. Mjomba Mkude

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Mkuu umesema sawa..
Back
Top Bottom