Recent content by MJJ

  1. MJJ

    Prof. Assad anaendelea kuwa mwiba kwa serikali, Billioni 2.7 zimetumika bila kufuata taratibu.

    Naomba mtu yoyote atayeweza kuniwekea hapa ukaguzi wowote wa mwaka wowote cha toka uwepo wake CAG yoyote ambao uliwahi kutoka bila kuonyesha mashaka ya upotevu wa pesa ama tulinganishe upotevu wa sasa na wa zamani upi unatisha
  2. MJJ

    Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Kumbe amepona hadi kufikia kiwango cha kupiga mzigo ahaaa kumbe speaker amuonei
  3. MJJ

    Matindi: Tunaiendesha ATCL kitaalamu na si kutafuta sifa za kisiasa, Hatutawaangusha!

    Hao wanaosema Bukoba hawana maendeleo nadhani ni wale wanaofikiria maendeleo ni mijini tu. Waambie wajaribu kuzunguka vijijini ndipo watajua maendeleo ya Kagera na hivyo vimikoa vyao. Asili ya Kagera sio watu wa kuhama hama wanajenga walipo sio kama wenzetu na mie kujenga kwao ni mijini kijijini...
  4. MJJ

    Kwanini Rais Magufuli anamheshimu sana Mbunge John Mnyika?

    Ili ni tusi la mwaka[emoji16]
  5. MJJ

    Naomba kufahamu malighafi zinazotengeneza pete za uchumba

    Kwa taarifa yako ukimunyenyekea mwanamke ni kama kumpa ruhusa ya kumegwa. Fanya uchunguzi wako utajionea
  6. MJJ

    Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Nimejaribu kusoma mara mbili mbili lakini sijakuelewa niwe mkweli naamini hata wewe ukisoma hautajielewa unachomaanisha
  7. MJJ

    Naomba kufahamu malighafi zinazotengeneza pete za uchumba

    Mwanaume kumpigia magoti mwanamke huo ni uboya wa hali ya juu.
  8. MJJ

    Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Kunywa bia nakuja kulipa
  9. MJJ

    Majukumu kuhusu mkuu wa wilaya,mayor na mkurugenzi

    Kuna mtu ameandika kishabiki cheo cha meya ana lengo lake huyo.
  10. MJJ

    Nauza Fridge, Feni, Kitanda, Godoro Wahsing mchine, Oven

    Fridge naliitaji. Je ulinunua ikiwa mpya au used na umeitumia muda gani???
  11. MJJ

    Mali za Lugumi zilizopo Mbweni na Upanga kupigwa mnada na YONO, anadaiwa na kodi na TRA

    Lissu amepewa siku 7 kukanusha uongo wake
Back
Top Bottom