Kwa kweli tunatofautiana sana kimaono. Nachelea kusema kuwa PASCO ni moja ya walioathirika na kasi ya JPM maana huwezi kuwa na maumivu kama hayo bila kubonyezwa. Kweli JK alijifanyia yake kwa miaka yake 10 na ameenda zake. Ila kusifia ya JK mbele ya umma ni sawa na kujusifia kuvaa nguo nyeupe...
Habari waungwana wanajamvi.
ANGALIZO.
Taifa letu (Tanzania) - Hii inawahusu watanzania pekee.
Waungwana wanajamvi - Hii inawahusu wale wenyemtazamo ulio na hoja pekee na sio wenyemizaha au upotoshaji bali wenye utu na utaifa wao.
Ruksa kukosoa au kusahihisha hoja zangu kwa kuwa naandika...
Isoniazid tija yoyote ni Kama kuua Mende kwa nyundo ya kilo 5. Badala ya kupambana an uzalishaji duni tunaona suruali za Hawaii mabinti Kama ndio kazi za kufuatilia.
Yapo material baadhi yanaweza kutumika zaidi ya mara moja hasa yenye asili ya plastic au chuma lakin lwa mbao kwenye kazi za zege ukizingatia ili zege iwe imara inahitaji maji na mbao na maji lazima iathirike. Haitatoa kitu kinachovutia kwa maana ya finishing surface. Kwa hiyo ni bora...
"NCHI HII INAONGOZWA KWA UTAWALA WA SHERIA, HAINA IMANI YA DINI YOYOTE. HAIONGOZWI KWA MISINGI YA UDINI. NA OLE WAKE ATAKAE SIMAMA HADHARANI NA KUZUNGUMZIA UDINI KWA MAANA YA KUIKASHIFU DINI NYINGINE. ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA KAMA MHAINI WA TAIFA LA TANZANIA. ATASHTAKIWA KWA KOSA LA...
Mr. Kigwangala. unazungumzia vipi ufinyu wa elimu bungeni na mamlaka ya kutunga sheria na kuishauri au kuishinikiza serikali? lets have a positive debate.
Apotoshe umma au asipotoshe umma. Wewe mtoa mada jiulize ni sahihi kupeleka gesi dar? Au ule ni mji wa viwanda? Maeneo yapo mengi na makubwa huko inapotoka gesi. Nadhani kama Mt. Kilimanjaro na Ngorongoro vingeweza kuhamia dar wangepropose. Kujaza vitu vingi sebuleni ni kujinyima hewa tu...
Jiulize ni dhambi kubwa kiasi gani zinafanyika kuliko hiyo wanayodhani ni dhambi ya kula kilichochinjwa na mkristo. Mkumbo ni mbaya sana. Huli nyama ya mkono wa kikristo wakati unanyonya mate ya demu wa kikristo. Shule jamani inakusaidia kudiscuss haya ya kipuuzi na kutupa kapuni.
Ni maoni tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.