Recent content by mjinga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dalili Kuu za Mlevi

    Karma in mean a CCM, kabla ya kulewa ataisifia CCM bila mfano,.....akilewa to atalaumu seriakali ya CCM na kuchukia
  2. M

    JamiiForums Tanzania The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Du ndio maana Saudi Arabia nchi maskini wamegoma kuwasaidi wakimbizi wa Syria,Kurdi nk kusudi wakafie huko huko kwa wafuasi wa Vatican(Ujerumani nk)..!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Dadavua kidogo mkuu..Kakanusha nini??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

    Lakini wewe Mzee Mwanakijiji wewe hujawahi kuumwa tangu kuzaliwa kwako?? Au familia yako haijawahi kupata hata na ugonjwa wowote?? Mimi hapa ni muathirika wa UKIMWI nimeamua kuweka wazi na ninakerekwa sana na tabia zenu hizi za kunyanyapaa wagonjwa…Kana kwamba ninyi CCM hamuumwi?? Mbona...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Nini msimamo wa katiba ya wananchi…Kwa kila mgombea wa Uraisi atueleze yeye anapendekeza rasimu ipi (Ya Warioba au ya Sitta) na sababu zipi??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Mimi kama mjomba wa binti tutakuruhusu kama wewe ni mwana UKAWA…magamba wasahau kabisa watabaki kuona ktk picha tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wachawi wa CCM

    Mkapa nae hata habadiliki!!yaani mpaka sasa huko kusini kawatukana watu….yaani kwa hadhi yake na cheo chake ilibidi awaachie akina kibajaji watukane na mama Mshamu…Yaani ni aibu sana CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Kinana?

    Ubaya wa huyu dentist lazima aue!!! Poor wanyama wetu!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    Walioua viwanda hivyo si ndio CCM!!! kama muungwana ilibidi atuhakikishie kuwa wale wote walioviua hivyo viwanda wawekwe ndani na wafilisiwe…Hizi nyimbo zenu tumeshazichoka...Ndio maana UKAWA wanakuja kuvijenga hivyo viwanda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

    Kwani Lowassa kaanza "kuchafuka" mara tu baada ya kuingia UKAWA? Lowassa leo kawajibu kuwa ktk list ile ya watu kumi akiwepo Kikwete, Mkapa etc mbona hamuwaimbii wimbo huo huo??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa wewe Rais kipi kipaumbele chako

    1.Nitasimamia kupata katiba safi 2.Nitawaweka ndani wezi wote wa Escrow waliojificha ktk benki ya Stanbic, wezi wa Epa,Meremeta, Lada, 3 viongozi wote waliohujumu uchumi na kutia hasara nchi hii, 4.Nitaiipitia mikataba yote mikubwa mikubwa, 5.Makampuni yote ya nje kutofaidika na kodi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia afungua kampeni jimbo la Vunjo

    Picha mkuu picha tupate raha!!!Mrema hatembei na ambulensi???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lowassa v/s Mke wa Magufuli

    Mke wa Magufuri anajua wazi kuwa CCM itamfia Magufuri mwaka huu.. "CCM tulikupenda enzi ya Nyerere lakini siku hizi mafisadi wamekupenda zaidi…."!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    MMM hizo ni kelele za chura..tutampigia tu kura Lowassa mwaka huu..tumeichoka CCM yenu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    DR Slaa tulikupenda lakini mafisadi wanakupenda zaidi
Back
Top Bottom