Habarini wanajukwaa, leo nmekuja kuwasilisha changamoto na baadhi ya kero katika soko la Buguruni.
1. Soko linamiundo mbinu ya kizamani sana ukilinganisha na idadi ya watu inaowahudumia, ukitazama njia za kupita (kupishana) ndani ya soko kwa sasa ni vichochoro, vizimba vidogo mno kiasi kwamba...
Pole sana, hizi ni ndoto nlikua nazo sana kuna mtu akanisaidia, hio kuota upo msingi nikua kuna watu walikushika (wekea vikwazo /vifungo)ukiwa Madarasa hayo (wawezakua wanafunzi wenzio au walimu. Kua jalalani ni mikosi/nuksi ,kuchafuka/shushwa nyota.
Habari za muda huu wanajukwaa, naombeni nichangie kwa uchache.
Tuweke mihemuko pembeni twende kwa hoja, kuna sababu nyingi sana kufanya dada zetu kuwa single mama 1:umasikini wa familia zao [kutopata mahitaji kwa wakati] 2:kufiwa na wenza wao [waliozaa nao] 3:wanaume waliozaa nao kuwatelekeza...
Pole sana mkuu, kwenye koo nyingi kuna mambo ya "kafara la ukoo" yani familia moja inateuliwa kubeba ukoo, kwa mf, ukingalia life la baba/mama yako ni duni ila wenzake wote &familia zo wanapeta fresh tu, kinachofuata wanachagua mtoto wake mmoja ataefata nyayo [ukapuku/umsikini wake] ili kubeba...
Watu hawapangii wengine namna ya kulea ila hawataki kusumbuliwa na matokeo ya malezi ya mtu mwingine, mfano umepata wageni wenye watoto halafu mara watoto waanze kupanda juu ya friji, tv , meza nk, au waanze kimbizana mpaka rooms nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.