Hapana ajira sio uhakika but possibility ya kupata ajira ni kubwa kwa sababu kufaulu oral ni kuanzia marks 50% ambayo jobless ukijiandaa vizuri unapata fresh na kama walikuwa wanahitaji watu 50 na wote wakachukuliwa but mnaobaki mnakaa kanzi data ambapo taasisi , halmashauri ,mamlaka na wakala...
Siku nyingine jitahidi kufika kwenye usahili wa mchujo ukiwa umekamilisha kila kitu kama vilivyoagizwa kwenye tangazo la Kazi na hiyo ndio maana ya usahili wa mchujo yaani Sio kufaulu mtihan pekee wanaangalia Hata Utu tuvitu tudogo tudogo tunaweza tukakucost
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.