Recent content by mjeuri zaidi

  1. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Umeongea sahihi huyu jamaa nimewahi kuishi naye jirani akiwa pale TBC songea, nyumba yake nzuri kazungushia fence ila ndani kwake ukiingia mazombie kama yote,kuanzia mama iliyesemekana ni mama yake mpaka wanae wote wanavuja mate tu mle ndani,kama una kinyaa huwezi kula wala kunywa chochote,ndio...
  2. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Polepole ameishajivua gamba la Ukristo?

    Basi nenda kamsemelee kwa binamu yako yesu,me nilijua umeandika vya maana kumbe ushuzi tu
  3. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinums: Hakuna Kiongozi Atakayekuja kukuwekea Pesa Mfukoni na Kumaliza Shida zako. Pambana kivyako kutimiza ndoto zako

    Mwenzako P Diddy alishamuwezesha wewe je? Changamkia katoe jicho la tatu uje ututukane vizuri
  4. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

    Mimi wanangu wamesoma kayumba na wamefaulu vizuri,ila ukija kwenye suala la kujitambua, kujiamini nk sithubutu kumkejeli aliyesoma private mpaka najiulizaga mbona huyu wangu wa from four anakosa kujiamini mbele ya huyu wa darasa la 7 private nini shida?
  5. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

    Wasira mwenyekiti wa ilani? Mtu ambaye mpaka Jimbo lilimshinda alafu aandae ilani ya taifa zima? Hatujawahi kuwa serious.
  6. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Polepole alitaka kuzungumza kwa undani kuhusu kilichotokea nyuma ya pazia kifo cha Magufuli, ila ameshadhibitiwa

    Vipi unajisikiaje ukiona huu uzi wako mkuu,hujioni kama ulikuwa mzito wa kufikiri? Je bado wamemdhibiti?
  7. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Sasa miaka yote jeshi la Israel linapigana na migambo ya hamas haliwamalizi bado una imani nalo tu?
  8. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Endelea kulinda komwe bila kujua unaliponza trakoo
  9. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Hahahahahaha unawekwa!!
  10. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Mo kamrithisha mwanae kampuni ambayo ni ya familia,sasa we pungasese unaleta mifano ya kufananisha nchi na kampuni wanakuswela?
  11. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    Hiyo waulize chadema wenyewe
  12. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    Hilo swali waulize chadema
  13. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    Kwa taifa hili hata kuku anaongoza,maana imejawa na maiti tupu.kama umenuna njoo ghetto
  14. mjeuri zaidi

    JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Roho ya uzinzi,?,mkuu nyeg... zisikie tu hakuna roho ya nini wala nini mpaka uchuje ndio tamati, vinginevyo kachelewe bafuni
Back
Top Bottom