Recent content by mjeshi13

  1. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Tatizo pacha langu liko hivi, mie mabao hamna kabisa! Uume unadinda vizuri na kuingia kwa bibi kama kawa, ila nitapiga mashine hata zaidi ya nusu saa au saa nzima lakini babu hatemi ng'o! Tatizo hili limenianza kwenye age ya 53, ila kabla ya hapo mambo yalikuwa mubashar! Solution please! Sent...
  2. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Marehemu wengi hurejea baadhi ya sehemu walizofia?

    Udanganyifu aliouasisi shetani bado unawatawala watu! Hakuna kitu kama hicho cha mtu aliyekufa kurudi mahala alipofia, wala hana utambuzi wowote.
  3. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke kupata maumivu baada kujamiana mbegu za kiume zinapomuingia.

    Tatizo pacha na hilo, wa kwangu analalamika kila nikimmwagia shahawa zangu zinamuwasha sana, sijui tatizo na suluhu yake yaweza kuwa nini!
  4. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Hubby wangu I mean mpenzi wangu! Elewa hivyo kisha nisaidie!
  5. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
  6. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Hw old has he counted? May God strengthen the left family!
  7. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Mecca ndio mji bora duniani

    Usichokijua ni sawa na usiku wa kiza kinene! Binafsi sipo hapo.
  8. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Nimefurahi sana mama yangu kufariki, sijalia na sitaki mtu alie

    Hata biblia Gwajima haijui!
  9. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Usilolijua juu ya bomu ya Hiroshima inatisha

    Takwimu zako ninawasiwasi nazo! Kutoka dsm hadi kgm ni takribani km1250, wewe unasema km900.
  10. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Mungu ni mwema! Roho Mtakatifu amwagwe maradufu kutuandaa kwa marejeo ya Bwana wetu Yesu Kristo!
  11. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa hii picha tafadhali anieleweshe

    Tunyenyekee kupima tezi dume!
  12. mjeshi13

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    Clip ya muheshimiwa inatisha! Hakuna uhuru wa kuongea kile unachofahamu! Ni pale ninapoelezea fikra zangu nakuitwa mropokaji.
Back
Top Bottom