Msaada: Mwanamke kupata maumivu baada kujamiana mbegu za kiume zinapomuingia.

kantalambaz

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,878
872
Nikifanya mapenzi na mwanamke ananilalamikia kupata maumivu ya tumbo la uzazi baada ya manii yangu kumuingia Je nina tatizo gani kwenye manii yangu tiba yake ni nini?
Naomba msaada manake naona ntakimbiwa.
 
Analifahamu tumbo la uzazi huyo au ndio vile kabinti kuongea tu pole yake, hapo ni yeye ndio ana tatizo na sio wewe, usije ikawa UTI huko au uvimbe kwenye njia ya uzazi ye anasema maumivu ya tumbo la uzazi.

Akapime aisee, mkojo, kusipokuwa na tatizo achekiwe na speculum vizuri( yaani afanyiwe uchunguzi ukeni, ila iwe hospitali), kama bado hawajaona tatizo basi ufanyiwe pelvic ultrasound.
 
Nikifanya mapenzi na mwanamke ananilalamikia kupata maumivu ya tumbo la uzazi baada ya manii yangu kumuingia.
Je nina tatizo gani kwenye manii yangu?
Tiba yake ni nini?
Naomba msaada manake naona ntakimbiwa.
Nadhani unajituma mno mkuu mpaka unagusa mfuko wa uzazi
 
mkuu hivi na hili ya kitovu kuuma kwa mwanamke linatokana na nini??
Mkuu sababu ni nyingi, Je tatizo limeanza toka akiwa na umri gani?na ni muda hasa ndio huwa kunauma(joto kali, baridi kali, akila, akiwa na njaa, akikohoa, akicheka ).

Umri wake?
Na je amewahi kupata ujauzito? Kama ndio hali ya hayo maumivu ilikuwaje kipindi cha ujauzito?
 
Tatizo pacha na hilo, wa kwangu analalamika kila nikimmwagia shahawa zangu zinamuwasha sana, sijui tatizo na suluhu yake yaweza kuwa nini!
 
Back
Top Bottom