Recent content by mjepo

  1. mjepo

    KESI YA KITILYA: Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya DPP

    Pesa mbaya sana wakuu
  2. mjepo

    Mvutano waibuka kati ya Kikwete na Magufuli juu ya ukatibu wa bunge, asita kuachia madaraka

    Jk kama kafanya hayo amekosea sana lazima apingwe kwa nguvu zote.
  3. mjepo

    Bungeni: Naibu Spika alalamikiwa kumzunguka Spika Ndugai

    Ukaribu wa mtu unatuhusu nn sisi wakati bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu.
  4. mjepo

    Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

    Mtu mwenyewe msigwa ambaye kwake yeye hoja ni kuropoka tu.
  5. mjepo

    Serikali ya Magufuli yakiri kufanya makosa

    Hakuna kitu kwenye andiko lako hewa tu.
  6. mjepo

    MSAJILI WA HAZINA: Simon Group inamiliki 51% ya Hisa UDA na Serikali 49%, Jiji halina hisa

    Jiji wasubiri waanzishe miradi yao siyo kudandia ya watu wengine.
  7. mjepo

    Ubaguzi waitafuna CHADEMA. Salum Mwalimu alisukiwa Zengwe aukose ukatibu mkuu

    Kwani chadema nacho chama basi wale ni genge la wahuni tu hakuma chama pale.
  8. mjepo

    Lembeli amsifu Rais Magufuli kwa kazi nzuri, Rwakatare awapinga CHADEMA kuhusu kuibiwa wa kura

    Wazee walikurupuka kufuata fisadi ona sasa kila wanapogusa panateleza pole yake.
  9. mjepo

    Rais Magufuli aombwa ikibidi alivunje bunge

    Ukawa wajinga sana sijui nani kawaroga kwenye hii dunia.
  10. mjepo

    PICHA: Kurasini Road Intersection (Flyover) kuelekea Mwl. Nyerere Bridge, Kigamboni

    Bado wanazungusha mikono watakuja tu.
  11. mjepo

    Sakata la Bomba la Mafuta: Uganda Yachagua Tanzania

    Wale jamaa zetu ambao mda wote wanawaza ukabila na umimi tumewapiga bonge la bao.
  12. mjepo

    Tume Mipango yamfunda Mbowe

    Hivi wanapata wapi mda wa kumjibu mtu kama mbowe ambaye uelewa wake sawa mwanafunzi wa darasa la tano c, uelewa wa mbowe ni mdogo sana yeye mda wote anafanya siasa tu.
  13. mjepo

    Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Mungu ni mwema sana kumleta magufu mafisadi hawa ngoja waisome namba hatatoka mtu hata kwa kupitia dirishani hawatatoka kamwe.
  14. mjepo

    Ukweli Mchungu Kuhusu Matangazo Ya Bunge Live

    Halafu chadema ndiyo wanafanya liwe chafu.
Back
Top Bottom